Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Mods ina maana huyu jamaa hamjamuona ?. Anatuharibia jukwaa letu, bora aende jukwaa la siasa ndio wanaruhusu uongo kuriport habari kama zake

Hili jamaa lingewekewa jukwaa lake la watoto...... Paw tafadhali anatuharibia uzi huyu mwehu ubarinolutu.
 
Last edited by a moderator:
Tukutane kipindi cha 2 ngoja nipige funda kadhaa za maji hapa...
 
Kagera wameuza mechi tangu jana, sitashangaa matokeo
 
Half time Simba 1 Kagera Sugar 0
 
Anaitwa Amis Tambwe Magoli, washabiki wa Ndala wanamuita Mapenati.

Naona mkuu ndio taratibu unajisogeza jukwaani kama jua la asubuhi linavyochomoza angani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…