Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Amis tambwe anakosa tena bao, klosi safi ya baba ubaya
 
Mkuu hivi unapata wapi hivi vikosi, maana siku ile ukaleta kikosi tofauti na leo pia umeleta kikosi tofauti au huwa unajaribu kubashiri?
 
mpira umesimama kipa wa kagera sugar ameumia nadhani hawezi kuendelea na mpira
 
Nazungumzia mafundi soka, kuhusu ujenzi wa madaraja nakushauri kutana na John Pombe Maguful.
Samahani mkuu si unajua sisi wa vijijini tumezoea mafundi ni wa kujenga tu.
 
Dk 21

Simba SC 0 - 0 Kagera S

Mpira ulikuwa umesimama baada ya kipa wa Kagera kuumia...
 
Mkuu hivi unapata wapi hivi vikosi, maana siku ile ukaleta kikosi tofauti na leo pia umeleta kikosi tofauti au huwa unajaribu kubashiri?

mkuu huwa napata majina ya kikosi mapema kabisa, tatizo kocho huwa anabadilisha mcheza mpira unapokaribia kaanza, kama leo kabadilisha wakati timu zinakaribia kuingia uwanjani
 
Simba wanapata kona...Kagera wanaokoa...

Mwombeki offside!!! naona mashabiki wa Simba wanamtusi hapa Mwombeki
 
Dk 26

Salum Kanoni anapiga majimaji langoni mwa Simba...inakuwa ni goal kick

Simba washaanza...
 
Kagera team piga hao Simba warudi msituni.
 
Kagera sukari, tupeni raha wananchi, kila la kheri'

Hao Kagera wanapigwa nyingi tu kama wamesimama, na huenda kile kipigo cha bao sita walichoshushiwa mgambo kitawaangukia wao....
 
Hao Kagera wanapigwa nyingi tu kama wamesimama, na huenda kile kipigo cha bao sita walichoshushiwa mgambo kitawaangukia wao....

Simba ushindi wenu droo tu...hebu angalia soka safi hawa vijana wa Kagera wanavyotandaza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…