ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
hii sare iishe hivi hivi.
Unamaanisha Nguza na papii?
hii sare iishe hivi hivi.
hii sare iishe hivi hivi.
Kipre anawakosa Simba hapa....kona...kona inapigwa lakini haina matunda yoyote
Tanga coastal mbili mtibwa sufuri
azam wanacheza lakini watafungwa wao
Jamani dakika ya ngapi sasa? Mpira hauishi tu?
Watabanaa! lakini wataachia.mwongoza ligi ni mmoja tu!!
Jamani hebu tujuzeni ngapi ngapi mpaka sasa.