Live update: Simba SC va Azam FC

Live update: Simba SC va Azam FC

uyu bocco kwisha habari yake anakosa goli tena
 
Kwa mara ya kwanza Leo nimeingia huku kwenye Soka la majungu. Timu haishindi mpaka iloge? Kama mtakumbuka miaka michache klab kubwa mbili za hapa bongo zinapokutana, kuna maiti zilipotea pale temeke hosp na pale bugando hospitali.
Kilabu cha Azam fc wanajua mpira kuliko simba na yanga, tatizo la azam hawajui fitna la soka. Soka linahitaji fitna, kama ilivyo kwa Juventus pale italia, Man united pale uk nk.
Naungalia mpira simba mara ya kwanza leo tangu enzi za Ball jugler Malota Soma na wenzie kina Muhamed Mwameja, Raphael Paul,Twaha Hamidu, kasongo Athuman na wengine. Mpira ni wa hovyo kabisa.
 
mkuu karibu uku hakuna majungu , azam bado wachanga
 
Back
Top Bottom