Live update: Simba SC va Azam FC

Aaaah, acha kabisa wanatisha !! yaani sijapata kuona! Katambuga social club mpaka leo kashindwa kuchomoa 5 - 0 ! alizochomekwa na Simba! kabaki kuweweseka!
 
pamoja na kusawazisha azam wanapoteza sana pasi katikati ya uwanja ambapo simba wameweka viungo wengi na kusababisha hatari ya mashambulizi ya kushtukiza
 
Aaaah, acha kabisa wanatisha !! yaani sijapata kuona! Katambuga social club mpaka leo kashindwa kuchomoa 5 - 0 ! alizochomekwa na Simba! kabaki kuweweseka!

Kejeli zako zimeiponza Simba, kamechomolewa sasa kanachomekwa kengine ili nanyi mchomoe.
 
Simba leo wapo vizuri,kipindi cha pili wantashinda hii mechi.
 
mechi hii simba lazima ishinde sare 3 mfululizo itakuwa haina maana
 
Tuliwaacha watangulie kisha tuwape chenye ncha kali.
 
Dk 46 Second Half inaanza

Simba SC 1 - 1 Azam FC
 
Hawa ni Madogo wa mazingaombwe anytime wanafanya maajabu! yaani pressure hakuna!Simba imethubutu na imeweza! Mpondela alishajaribu mwaka fulani kusajiri madogo kama hawa aliambulia kuchakazwa 4 - 1 na mnyama!!! Azam kufa ni lazima hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…