Live update: Simba SC va Azam FC

....yaani humu ni kama kumejaa a bunch of walevi !!...Hakuna anayeweza hata kuandika sentence kamili....malue lue tuu
 
azam wanakaa na mpira lakin hawana mashambulizi ya maana
 
Mechi ya leo naona kama Simba SC anashinda ingawaje sipendi iwe hivyo...
 
azam wanategemea zaidi kupiga klosi
 
ndemla anakosa bao anapiga shuti la mbali juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…