kama mmeshindwa kuwafunga kipindi cha kwanza kipindi cha pili msahau huwa wanakaza sana kipindi cha pili waulizeni mtibwa na simba walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mkuu mechi ya Simba na Yanga ni kama escrow, hakuna kiongozi wa TFF na ZFA ambaye hataki kushiriki kwenye hiyo escrow. Ngoja tuone saa nyingine mambo huenda vile ambavyo hayakupangwa au kutarajiwa.