Mkuu
Makoye Matale,
mkolaj na wana Yanga wote poleni, ila ni bonanza haliumi sana. Acha tujifariji.
Masuke na wana simba wenzako hongereni sana, kila la kheri simba, japo najua hamchukui kombe safari hii laweza baki Zanzibar, halitavuka bahari.
Nawatakia usiku mwema.