Live Tohara ya kikurya.

Live Tohara ya kikurya.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
TOHARA.JPG
TOHARA.JPG
TOHARA.JPG
Unakatwa bila Ganzi kwa taklibani dakika 17 hivi.
 
hahaha, watakuwa wamempa uyo mbwa akatafuna kile kinyama...naona mbwa anafuatilia kwa makini..
 
hahaha, watakuwa wamempa uyo mbwa akatafuna kile kinyama...naona mbwa anafuatilia kwa makini..

Hahaa..hahaaa kumbe umemuona ashashtukia kuna menu ya hataree hapa.
 
Hapo kwenye lipicha la pili namuona mtu Kama "nikiripoti kutoka tarime Mimi ni Jooooji Marato wa AiTiii viiiiiiiii......"
 
Wanaogopa kuwawahisha watapata vibamia
Maumbile hayaendani na kuwahi au kutowahi, kama maumbile yakiwa madogo hata ucheleweshwe vipi yatabaki kuwa madogo na kama maumbile makubwa hata uwahishwe vipi yataendelea kuwa makubwa
 
Back
Top Bottom