Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Na Simba watalalamika Si Goli FIFA walete Elektroniki ya mpira ijulikane uliingia au hukuingia goli lak wanza... tehteh Jamani Simba anzeni kupiga madotchi ijulikane moja.
 
Dah yani tunaumiza vidole wao wanaona zile safari ni Holiday sio????? sio Kazi sasa mie naona tutaanza za zamani za kuchuma Mianzi nakutandika Kuanzia Airport pale fimbo. tushachoka.
Ahahahahaaah!! Hii inaweza kusaidia tukafanikiwa.
 
Nasikia kwamba Simba SC wanajiandaa kukata rufaa tena . . . .
Safari hii watahoji "Kwanini tutolewe na timu za DRC mara mbili mfululizo . . . .tena ndani ya miezi michache" . . lolz
Maana mabao ya TP Mazembe plus ya DC Motema Pembe jumla ni 8
Rage anaandaa taratibu za rufaa . . . .
Invisible upooooo??!!!
Njoo umsaidie Rage . . . .
 
haahaaahaaa.....!!
 
Bado kama dk 8 mpira uishe. Magoli bado 2-0.
Sioni dalili za goli kwa Simba.

Inabidi sasa tuandae maandamano nchi nzima kudai timu zetu zifunge magoli..... Nitawasiliana na Mhe Lema baada ya hizi updates.
 
Safi majinga sana haya ma simba na lile kocha la vijana, ushindi wa goli moja nyumbani yakavimba kichwa. Nyambafff
 
Nasikia kwamba Simba SC wanajiandaa kukata rufaa tena . . . .
Safari hii watahoji "Kwanini tutolewe na timu za DRC mara mbili mfululizo . . . .tena ndani ya miezi michache" . . lolz
Maana mabao ya TP Mazembe plus ya DC Motema Pembe jumla ni 8
Rage anaandaa taratibu za rufaa . . . .
Invisible upooooo??!!!
Njoo umsaidie Rage . . . .

Mkuu mbona unaanza kejeli tena.
 
Bado kama dk 8 mpira uishe. Magoli bado 2-0.Sioni dalili za goli kwa Simba.Inabidi sasa tuandae maandamano nchi nzima kudai timu zetu zifunge magoli..... Nitawasiliana na Mhe Lema baada ya hizi updates.
Tujitoe japo kwa muda kwenye mashindano ya kimataifa...
 
Yaani Simba wanaingia mpaka re-supplementary lakin wapi, wanafeli tu
Khaaa!!
 
Back
Top Bottom