Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Simba! Simba! Simba!..................Poleni sana watani......

Msikonde,Rage atawasaidia kukata Rufaa.......DCMP wamemchezesha pacha wake Janvier Besala Bakungu,yeye alikuwa anachezea Nadi Al Ahly ya Egypt akahamia DCMP bila TC toka FA ya Egypt..................Teh teh.....
 
tutakuwa maarufu kwenye rushwa,siasa chafu(wizi),mikataba feki na umaskini kwa ujumla.
 
Aramba Aramba tena aaaaam aaaam...................

Aramba Aramba tena aaaaaam aaaam..................

Where's 'The janky' Ismail Aden Rage when you need him...................Lols
 
MATCH OVER, SIMBA 0, MOTEMA 2.

Hivi waziri KIVULI wa Michezo ni nani?
Tunataka maandamano ya usiku kudai michezo iboreshwe.
 
Tutaanza kutangaza Game za Mchangani Sio timu zinaenda Nje kama Holiday sana sana michezaji ikirudi itasema imemuona Kofi olomide wengine Vijana watasema kamuona Ukwa sijui na mwenzake wale wafupi.... Sikuhizi dawa wachezaji wakirudi bila ushindi ni bakora tu na bakora za upupu kuanzia Airport mpaka Bungeni wanakosifiwa uongo.
 
MATCH OVER, SIMBA 0, MOTEMA 2.

Hivi waziri KIVULI wa Michezo ni nani?
Tunataka maandamano ya usiku kudai michezo iboreshwe.

hv baado tu ulikuwa wafatilia hii mambo..wenzio tushasahau coz hatukuona km kuna jipya laja
 
MATCH OVER, SIMBA 0, MOTEMA 2.<br><br>Hivi waziri KIVULI wa Michezo ni nani?<br>Tunataka maandamano ya usiku kudai michezo iboreshwe.
 
Tujipange Upya ili tuweze kuondokana na hii aibu: Nchi ina watu ya milioni 43 tunashindwa wajezaji wa mpira wazuri!!!!
 
Rage bana..........Sasa kilichomfanya akimbilie kuwauza akina Mbwana Samatta na Patrick Ochan ni kipi?,si nagesubiri tu ndo awauze kwa TPME..........

Aramba aramba tena aaaaaaaaaaam aaaaaaaaaaaaaam.....................
 
Nchi yetu kweli tunasema majungu hata hayo majungu tumezidiwa na Nchi za magharibi.... Washabiki wa Yanga wamekaa kama wale wanaolalamika Mtambo wa Dowans sasa huo wa Marekani haulalamikiwi wengine wanarukia tu kulalamika bila kujuwa kinachoendelea....
 
Back
Top Bottom