Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Mkuu Bala unaua taifa zima kwa hivi vijembe...
du!!

Hapana mkuu wangu.....

Ndio raha ya utani hiyo.......

Wanajuta kwa nini waliwauza Mbwana Samatta na Patrick Ochan TPME na kusuasua kumuongezea mkataba Hilary Echesa mpaka akatimka kwao Kenya......

Unajua jamaa walibakiwa na wachezaji 17 tu....................
 
Rage bana..........Sasa kilichomfanya akimbilie kuwauza akina Mbwana Samatta na Patrick Ochan ni kipi?,si nagesubiri tu ndo awauze kwa TPME..........Aramba aramba tena aaaaaaaaaaam aaaaaaaaaaaaaam.....................
Ni muda muhafaka Rade kujiuzuru: tangu apewe nafasi ya M/kiti, Simba imezidi kudolora: imepoteza Ubingwa mikononi mwake, Kocha Phiri ameondoka kwenye kipindi chake, Afsa habari wa timu Ndimbo kaachia ngazi kwa sababu yake, Simba imepokea vichapo mfululizo kwenye utawala wake, Samata na Ochan ameuza sijui pesa kapeleka wapi: sasa Wakati wake wa kuachia ngazi umefika rasmi leo; bilashaka atatekeleza bila wanachama kuandamana.
 
Kutokana na vurugu kubwa zilizofanywa na washabiki wa Motema Pembe Rufaa inakubalika.
 
Wadau Mechi zimeisha turudi kwenye majukwaa yetu sasa maana naona wote tumehamia hapa kule kwingine hakuna watu sisi tushiriki michezo ya Bao, Draft, Mdako, Rede , wa kuvuta kamba, kufukuza kuku mingine nimesahau
 
Rage analalamika Simba wamefanyiwa vurugu na mashabiki wa DCMP,anadai wameshindwa kutoka nje ya uwanja....

Ila kakiri kwamba walistahili kichapo.....Magoli ya DCMP ni halali kabisa
 
Wadau Mechi zimeisha turudi kwenye majukwaa yetu sasa maana naona wote tumehamia hapa kule kwingine hakuna watu sisi tushiriki michezo ya Bao, Draft, Mdako, Rede , wa kuvuta kamba, kufukuza kuku mingine nimesahau

Umesahau na ngono kwenye Big brother
 
ningekuwa mhariri basi kesho gazeti langu lingepambwa na kichwa kikubwa cha habari...
''SIMBA KOKO WACHAMBIA UPUPU''
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom