Elections 2010 LIVE ON TBC1: Mdahalo wa Wabunge - Jimbo la Arusha

Ndio zao wanapenda kula vya gizani!
Kweupe hawawezi! Hata babu yao kala winga!
Oooh mara mdahalo hauna umuhimu, atajibu nini akiulizwa amefanya nini miaka 5 iliyopita?

.
Mkulu anaogopa kuulizwa maswali ambayo January Makamba hajayapitia na kumwandikia majibu.
Kama mdahalo wenyewe maswali yatatumwa kwake wiki moja kabla basi yuko yayari kushiriki.
 
CHADEMA:
Kupaata mabasi ya kufika shuleni
Kuongeza ubora wa Elimu
Shule za kata zinaondoa utaifa kwa kuwa wanafunzi wanasoma sehemu moja tu.
 
TLP:
Tuipme Arusha na kutenga viwanja
Kuwafundisha vijana
 
CHADEMA:
Michezo ni Uchumi
Kuinvest Million 100 kila kata zinaweza kupatikana ndani ya miezi 5
Kuanzisha michezo mbalimbali na kutoa ajira
 
SWALI: Uporaji wa Madini kwenda Nje malori kwa Malori.

Mtawatafutiaje masoko wasitapeliwe?
 
CHADEMA:
Wajiunge pamoja na mitaji wachimbe madini kisasa
Waende kwenye masoko makubwa na ya hisa
 
DEMOKRASIA MAKINI:
Waunde chombo kitakachosimamia madini na jinsi ya kuyauza
 
TLP:
Mimi ni mtafiti na mchimba madini (?)
Kuifanya biashara iwe rasmi
 
Swali la Mwisho:

tatizo la watoto wa mitaaani na omba omba. Kuna mikakati gani kukomesha tatizo
 
MWISHO:
TLP: Kujenga taifa lenye watu +ve. Ahadi zipimwe zitatimizwa
CHADEMA: Msigawanye Kura pelekeni CHADEMA. Wametutukana lakini hatujakata tamaa
CUF: Chagueni CUF kwa maendeleo. Zanzibar tuko mseto. Tuchagueni tuulete bara. watanzania zindukeni na mafisadi
 
Back
Top Bottom