Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
HAMY-D utaangalia au tayari ulikuwepo kwa hiyo inatosha?
 
Last edited by a moderator:
Channel gani?
 
Mtujuze nina watasema
"Vox populi,Vox dei"
 
Kama vile kitakuwa Recorded....mbona kama kwenye picha Slaa ameshaongea? Ngoja tusubiri saa moja hiyo...jitahidi kuleta full story, siyo kuleta habari nusu nusu halafu unakimbilia kwenye togwa asubuhi asubuhi...asante kwa taarifa lakini...
 
namshauri mangula asivae koti au suti maana atalowa jasho na anaweza kuomba mapumziko kwani inapokuja kwenye hot mjadala kama aya namjua vizuri Dr.
 
Kipindi hicho huwa kilikuwa kinatangazwa na itv so i hope itakuwa itv,,,, huyu mwenye post hajaweka
 



Ahhhjhh....bandugu,huzi striker hatari!anaweza kunyofoka mtu ulimi!ushawahi kuona mtu anaongea mpaka mdomo unagusana na pua wewe!!!!
 
Ngoja tusikilize mawazo ya wazee wetu,mangula na dr slaa....nawaheshimu sana hawa wazee bila kujali itikadi zao
 
mbona slaa anatumia mkono mmoja wa kulia. ina maana wa kushoto ndiyo umelemaa! pole sana dkt!
 
slaa aache kuzungumzia udini kwa sbb mwenyewe na chama chake ni wadini
 
Kipindi kizuri, ila walichokesea kidogo ni wazungumzaji hawapo pamoja...

Ngoja tuendele kuangali.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…