Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
687
Reaction score
238
1016969_412575612186752_1223472753_n.jpg

1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbroad Slaa
 
chagga chanel?? mbona unaweka mada kishabiki ht haina vitu mhm ww
 
View attachment 105205

1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa
Taarifa yako haijakamilika, hicho kipindi kinarushwa TV gani?
 
Wakuu hicho ni kipindi kipya kitakuwa kinarushwa kila Alhamisi kupitia ITV.

Kwa kuanzia leo kitakuwa hewani na Dr.Slaa na Mangula watakuwepo.
Please wadau wote mnakaribishwa kutazama na wengine kuleta updates hapa hapa JF.
 
Udini umekushinda sasa umehamia ukabila ambao nao si muda mrefu utachemka. Ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia eneo la kupumulia. Nyau we!!
chagga chanel?? mbona unaweka mada kishabiki ht haina vitu mhm ww
 
View attachment 105205

1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa
Kama ni recorded siangali, inatakiwa kitu kiwe LIVE, vipi muuwaji wa tembo, msomari Kinana, ndio kaamua kumkimbia Dr.Slaa mazima?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom