Live: Nusu fainali ya challenge cup

Mwamuzi kachezesha vizuri sana anayesema tunabebwa ana yake!
 
tunaiombea kili stars imalize vyema second half, maana gundu lilikuwa limezidi ....lol
 
Wawe makini tu maana hawa waganda wakirudisha goli tu itakuwa balaa...halafu kipindi cha pili Waganda wanaweza kubadilika
 
Wamekuja na nguvu ya ajabu hawa waganda, wamesawazisha!
 
Back
Top Bottom