Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,198
- Thread starter
- #21
kama ni kichwa buzwagi iliishia wapi?
huyu sio wa moto wala wabaridi bali uvuguvugu.
kama ni kichwa buzwagi iliishia wapi?
Hata mimi namuangalia, kusema ukweli huyu Zitto Kabwe ni kichwa mbaya!.
kwani katiba ni ya CHADEMA?
"kichwa mbaya" ndiyo nini?
ni ya waTanzania,lakini umuhimu wa CHADEMA katika hili ni mkubwa,kwani hiki chama kimebeba matarajio na matumaini ya walio wengi.
Zitto anahoja za msingi,
And yupo real katika siasa hizi za uwazi.
Ni aibu kwa ccm kutokwa povu kwa kutaka KADA wa chama chake aingizwe kwenye mchakato(dc).
kwa wabunge 23? sizani:eyebrows:
Amesema Cdm itafanya kila jambo linalowezekani duniani ili mradi tu kuhakikisha Tz inapata Katiba bora. Kuhusu wanasiasa kuteuliwa kwenye Kamati ya Marekebisho ya Katiba amesema kunawatu kama Jaji Warioba, Dr. Salim ama Prof. Baregu ambao michango yao kwenye Katiba ikahitajika na kama Rais akaona wanafaa, hivyo si vyema kuweka zuio wanasiasa wasihusike kwenye kamati wakati wengine wanaouwezo na uzoefu mkubwa wa mambo ya Katiba.
lakini mimi naona ni swala la kutafuta unafuu ulipo,kwani ata ma DED ni waovu na makada wazuri tu wa CCM.kesi ni nyingi sana.
Duh! .... huyu jamaa siyo CDM. He's leaning towards the govt.
CHADEMA wamedhamilia kuleta katiba bora.