LIVE: Mh. Zito Kabwe ndani ya star tv

Zitto anahoja za msingi,
And yupo real katika siasa hizi za uwazi.

Ni aibu kwa ccm kutokwa povu kwa kutaka KADA wa chama chake aingizwe kwenye mchakato(dc).
 
Amesema Cdm itafanya kila jambo linalowezekani duniani ili mradi tu kuhakikisha Tz inapata Katiba bora. Kuhusu wanasiasa kuteuliwa kwenye Kamati ya Marekebisho ya Katiba amesema kunawatu kama Jaji Warioba, Dr. Salim ama Prof. Baregu ambao michango yao kwenye Katiba ikahitajika na kama Rais akaona wanafaa, hivyo si vyema kuweka zuio wanasiasa wasihusike kwenye kamati wakati wengine wanaouwezo na uzoefu mkubwa wa mambo ya Katiba.
 
lakini mimi naona ni swala la kutafuta unafuu ulipo,kwani ata ma DED ni waovu na makada wazuri tu wa CCM.kesi ni nyingi sana.
 
CHADEMA wamedhamilia kuleta katiba bora.
 
Uwepo wa majukumu tena ya kikatiba ndani na katiba ya ccm yanayotakiwa kutekelezwa na DC ndio tatizo.

Na pia uelewe uwepo wa wakurugenzi,haiwapi wao nafasi ya kujigamba kuwa ni wasafi,but wao wana machinery that's why tunataka wawepo.
 
CHADEMA wamedhamilia kuleta katiba bora.

ulitakiwa kuwa mtoa taarifa na wengine wajadili

unaonekana una matatizo na zito na ungepata supporters wengi kwenye uzi huu, ungechangia kwa raha sana

umekuta si wote wana muwaza zito kama wewe, hii ya sijui vuguvugu ukiambiwa thibitisha utajikanyaga weeee bila point yeyote ile

Be real!!
 
Back
Top Bottom