Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Mirango migumu kweli kweli dk.54
 
cholo.... Simba nipeni raha bana yani nimekuja hadi huku aisee...ndani ya mkwakwani
 
Tanga kunani pale? Mbona kila mechi anayocheza mnyama hapo mkwakwani inakuwa ngumu?
 
mpira dakika 90 fitna ya kuwekeana mkono ameianzisha hans pope kawatumia ishomile wakwao huko bk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…