Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
safii sanaaTanzania 1 - Burundi 0
Nurdin Bakari (dk 19)
Mkuu, tumeshinda 2-0. Good game kwa level yetu, and we still have a long way to go!! Nurdin Bakari amescore zote kwa staili ileile ya kuunganisha perfect cross toka kwa Ngassa, though alikosa goli roughly unaweza ita amiss of the tonament! Hata hivyo katika hali ya sintofahamu, geti moja la uwanja wetu mkuu limevunjwa. Si unajua free.Asante sana kwa taarifa. Tunaomba matokeo baada ya mechi kumalizika.
Asante sana kwa kutuletea matokeo haya. Ninaipongeza Taifa Stars na ninaitakia mafanikio zaidi katika mechi zinazofuata.Mkuu, tumeshinda 2-0. Good game kwa level yetu, and we still have a long way to go!! Nurdin Bakari amescore zote kwa staili ileile ya kuunganisha perfect cross toka kwa Ngassa, though alikosa goli roughly unaweza ita amiss of the tonament! Hata hivyo katika hali ya sintofahamu, geti moja la uwanja wetu mkuu limevunjwa. Si unajua free.
Sahihisho dogo tu, hii si Taifa Stars hii ni Kilimanjaro Stars. Asante.Asante sana kwa kutuletea matokeo haya. Ninaipongeza Taifa Stars na ninaitakia mafanikio zaidi katika mechi zinazofuata.
unataka kuzusha mjadala wa muungano tena humu?Sahihisho dogo tu, hii si Taifa Stars hii ni Kilimanjaro Stars. Asante.
Sio mkuu, ila Taifa Stars haishiriki mashindano haya. Timu kutoka Tanzania ni Kilimanjaro Stars na Z'bar Heroes.unataka kuzusha mjadala wa muungano tena humu?