Live Match, Kilimanjaro stars v/s Burundi

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,718
456
Wakuu, mechi ya kili stars ndo hiyo inaanza katika mashindo haya ya challenge. Nsajigwa ndo kapteni. Ruhusa ya kuingia free imesaidia wabongo wengi kuingia uwanjani ili kuisapoti timu yao. Je, tutaingia kota final?
 
Asante sana kwa taarifa. Tunaomba matokeo baada ya mechi kumalizika.
 
Asante sana kwa taarifa. Tunaomba matokeo baada ya mechi kumalizika.
Mkuu, tumeshinda 2-0. Good game kwa level yetu, and we still have a long way to go!! Nurdin Bakari amescore zote kwa staili ileile ya kuunganisha perfect cross toka kwa Ngassa, though alikosa goli roughly unaweza ita amiss of the tonament! Hata hivyo katika hali ya sintofahamu, geti moja la uwanja wetu mkuu limevunjwa. Si unajua free.
 
Asante sana kwa kutuletea matokeo haya. Ninaipongeza Taifa Stars na ninaitakia mafanikio zaidi katika mechi zinazofuata.
 
Duuuu mwaikiki wapi?ali uropu moja ile akatamba sana kelele mnoooo!!!!yule zezetaaa amemdanganya Paulesn tuu atajuta kumuitaa ngongoti lile hakuna kitu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom