Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Kutakuwa na kongamano kubwa leo la kujadili zanzibar huru katika ukumbi wa salama bwawani.
Kuna tetesi kubwa kwamba Dk Slaa atakuwepo katika kongamano hilo

mansour.jpg
807915.jpg

dk slaa akiwa zanzibar

live: http://www.ustream.tv/channel/mazruimedialive
 
Nyie wazanzibar tatizo lenu hamjielewi halafu hamtaki kukubali kwamba hamjielewi kwa sababu Dr. Slaa akiwaambia ukweli mtaanza kulalamika, muelewe kwamba Dr. Slaa ni mpinzani nyie ni CCM hiyo CUF ni chapa kuzuga tu.
 
katika siasa hakuna ukweli, uongo mtupu .
 
Mkiwa bara mnaponda kofia Mkiwa znz mnavaa balagashia jinsi anavyoonekana huwezi kujua km ni padri slaa kule wanataka mkataba
 
Watanganyika wanayajua ya zanzibar kuliko wanzanzibar wenyewe,vivyo hivyo kwa wazanzibar
 
Dr. Slaa anaweweseka. Kila akionacho anakitolea macho!

Hili ndio tatizo la KUBINAFSISHA AKILI. Dr. Slaa na CHADEMA walisha weka msimao wa wazi, ikiwa ni pamoja na wanachama na wanye kuipenda CHADEMA. Kwamba serikali tatu ndio suluhisho la hali tete ya JMT.

Kuweweseka kwake kuna toka wapi? Ningekuona shujaa kama ungesema CCM inaweweseka na suala la serikali tatu. Kila kukicha ni kelele wakati waTanganyika na waZanzibar wamesha paza sauti za kutaka serikali tatu na ikibidi ya tau iwe ni ya MKATABA.

Kuweweseka huku kwa CCM, kumefikia hatua ya kumfukuza kila anaye paza sauti kutaka serikali tatu, huku wakichagua wa kuwa fukuza. Mbona Mzee Nasoro Moyo na Amani Karume wamonekana waziwazi wakipigia chapua serikali tatu na hawaja fukuzwa?
 
Mkiwa bara mnaponda kofia Mkiwa znz mnavaa balagashia jinsi anavyoonekana huwezi kujua km ni padri slaa kule wanataka mkataba

hapa umeniwahi... slaa kavaa baraghashia, mi naona akikosa watu next time atakamata na quran kabisaa
 
Hili ndio tatizo la KUBINAFSISHA AKILI. Dr. Slaa na CHADEMA walisha weka msimao wa wazi, ikiwa ni pamoja na wanachama na wanye kuipenda CHADEMA. Kwamba serikali tatu ndio suluhisho la hali tete ya JMT.

Kuweweseka kwake kuna toka wapi? Ningekuona shujaa kama ungesema CCM inaweweseka na suala la serikali tatu. Kila kukicha ni kelele wakati waTanganyika na waZanzibar wamesha paza sauti za kutaka serikali tatu na ikibidi ya tau iwe ni ya MKATABA.

Kuweweseka huku kwa CCM, kumefikia hatua ya kumfukuza kila anaye paza sauti kutaka serikali tatu, huku wakichagua wa kuwa fukuza. Mbona Mzee Nasoro Moyo na Amani Karume wamonekana waziwazi wakipigia chapua serikali tatu na hawaja fukuzwa?

well spoken, hakuna kitu kibaya na cha ovyo kt suala la rasimu ii katiba km ktunyima serikal ya tanganyika, Wabara na wazanzibar mbaya wetu ni ccm, ni ajabu wamekomaa ati wabara kamwe tsiwe na serikali, ril na alaaniwe yeyote mwanaCCM asotutakia wabara serikali yetu
 
Back
Top Bottom