Live kutoka Diamond Jubilee: Utoaji tuzo kwa waandishi bora 2011 - JK Mgeni rasmi

nitawapatia live update kutoka hapa Diamond Jubilee ambako muda mfupi ujao waandishi kadhaa nchini watatuzwa kwa kutambua mchango wao katika kuhabarisha jamii kwa mwaka 2011.

pia atakuwepo mwandishi bora wa jumla ,huyu atalamba takribani sh milioni 7


wageni wanaingia kwa wingi

nadokezwa kuwa TBC1 watakuwa live


Updates
Najulishwa hapa kuwa pia Rais atatumia muda huo kutoa hotuba.
Mwandishi bora wa jumla ni kati ya hawa-David Azaria (Habari Leo, Mwanza); Neville Meena (Mwananchi ,Dar ) Joseph Bura(TBC Taifa ,Dar) na Polycarp Machira(The Citizen ,Dar).

1.mpiga picha bora
ni Khamis Said kutoka uhuru

2.mchoraji bora wa kibonzo
ni Nathan Mpangala
alichora katuni iliyoonesha wabunge wakijongeza posho huku wanananchi wakisota

3.Utawala bora gazeti
Nevile meena-Mwananchi

4.utawala bora tv
emmanuel buohera-itv

5.utawala bora radio
Noel Thomson

6.Habari za Malaria-Gazeti
Audax Mutiganzi-Rai

7.Habari Malaria-Radio
Gelvas Hubile-TBC

8.Mwandishi bora Michezo-gazeti
Iman man
9.Habari za michezo -radio
Abdala Majura
10.Habari michezo Tv
Anuary Mkama

11.Habari za Watu wenye ulemavu-gazeti
David Azaria

12.Watu wenye ulemavu -tv
Lekoko-Channel ten

13.Mwandishi wenye ulemavu-radio
Tuma Dandi

14.Jinsia -Gazeti
Nasra Abdalah-Tanzania daima

15.Habari za Ukimwi-Gazeti
Elias Msuya

16.Habari za UKIMWI-Radio
Beatrice Nangawe

17.Habari za Afya-gazeti
Sharifa Karokola

18.Habari za afya-radio
Secilia Ndabageze

19.Habari za mazingira-Gazeti
Lukas Liganga

20.Uchumi na biashara-Gazeti
Polycap machira-The Citizen

21.Uchumi na biashara-tv
Aneth Andrew-TBC

22.Habari za elimu-gazeti
Erick Kabendera

22.Habari za elimu-TV
Victoria Patrick-TBC Dodoma

23.Habari za elimu-radio
Grace kihondo

24.Habari za watoto-Gazeti
Nashon Kenedy

25.Habari za watoto TV
Anganile mwakanjala

26. Habari za miundombinu na mazingira- Radio
Hii kama ingelikuwemo kwenye kinyanganyilo bila shaka umshindi angechukua ''Nicolaus Mac-Ngaiza'' wa KASIBANTE FM RADIO ya Bukoba kwa hakika huyu dogo anafanya vizuri aisee.
 
Sasa hivi nasubiri kuona kama yule dada wa kipindi cha wanawake live iwapo atachukua zawadi ya habari za wanawake!!
 
Nadhani mwandishi anatakiwa yeye mwenyewe a-submit kazi yake kwenye mashindano thena majaji wanachagua mshindi. Hivyo inawezekana Stanley na Kipanya hawakupeleka kazi zao.

Hata hivyo mimi naona huu mfumo unaweza kuboroshwa kwa MCT wenyewe kuanza kufuatilia habari na kujua ni ipi nzuri. Maana ukiangalia hizi awards huwelewi ni kitu gani washindi wamefanya. Totally out of tune! Labda Neville Meena lakini wengi wao sijui wameandika nini cha maana?


labda hawakutuma kazi zao!!
 
Kama rais,mgeni mwalikwa.Wazee wa bahasha wanamlamba viatu.Waandishi hapo ni sawa na kushambulia na kufunga upanda wao.Njaa mbaya
 
Nimechelewa kidogo kuanza kuangalia, hizo ni laptop au deki za video? Maana the size dah
 
Hizi tuzo mbona sizielewi? Yaani mtu mmoja anashindana na habari zake yeye mwenyewe peke yake.
 
Kikwete ndo kafunika pale meza yake pekee ndo walikuwa wanakula msosi na yeye pekee ndo alikuwa anakula kuku wengine mishkaki!!
 
Back
Top Bottom