Live kutoka Diamond Jubilee: Utoaji tuzo kwa waandishi bora 2011 - JK Mgeni rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live kutoka Diamond Jubilee: Utoaji tuzo kwa waandishi bora 2011 - JK Mgeni rasmi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Mar 30, 2012.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  nitawapatia live update kutoka hapa Diamond Jubilee ambako muda mfupi ujao waandishi kadhaa nchini watatuzwa kwa kutambua mchango wao katika kuhabarisha jamii kwa mwaka 2011.

  pia atakuwepo mwandishi bora wa jumla ,huyu atalamba takribani sh milioni 7


  wageni wanaingia kwa wingi

  nadokezwa kuwa TBC1 watakuwa live


  Updates
  Najulishwa hapa kuwa pia Rais atatumia muda huo kutoa hotuba.
  Mwandishi bora wa jumla ni kati ya hawa-David Azaria (Habari Leo, Mwanza); Neville Meena (Mwananchi ,Dar ) Joseph Bura(TBC Taifa ,Dar) na Polycarp Machira(The Citizen ,Dar).


  Mshindi wa jumla ni Nevile Meena wa Mwananchi


  Mteule wa tuzo ya Maisha na mafanikio katika Uandishi wa habari ni Fil Karashan


  1.mpiga picha bora
  ni Khamis Said kutoka uhuru

  2.mchoraji bora wa kibonzo
  ni Nathan Mpangala
  alichora katuni iliyoonesha wabunge wakijongeza posho huku wanananchi wakisota

  3.Utawala bora gazeti
  Nevile meena-Mwananchi

  4.utawala bora tv
  emmanuel buohera-itv

  5.utawala bora radio
  Noel Thomson

  6.Habari za Malaria-Gazeti
  Audax Mutiganzi-Rai

  7.Habari Malaria-Radio
  Gelvas Hubile-TBC

  8.Mwandishi bora Michezo-gazeti
  Iman man
  9.Habari za michezo -radio
  Abdala Majura
  10.Habari za michezo Tv
  Anuary Mkama mliman tv

  11.Habari za Watu wenye ulemavu-gazeti
  David Azaria

  12.Watu wenye ulemavu -tv
  Lekoko-Channel ten

  13.Mwandishi wenye ulemavu-radio
  Tuma Dandi

  14.Jinsia -Gazeti
  Nasra Abdalah-Tanzania daima

  15.Habari za Ukimwi-Gazeti
  Elias Msuya

  16.Habari za UKIMWI-Radio
  Beatrice Nangawe

  17.Habari za Afya-gazeti
  Sharifa Karokola

  18.Habari za afya-radio
  Secilia Ndabageze

  19.Habari za mazingira-Gazeti
  Lukas Liganga

  20.Uchumi na biashara-Gazeti
  Polycap machira-The Citizen

  21.Uchumi na biashara-tv
  Aneth Andrew-TBC

  22.Habari za elimu-gazeti
  Erick Kabendera

  22.Habari za elimu-TV
  Victoria Patrick-TBC Dodoma

  23.Habari za elimu-radio
  Grace kihondo

  24.Habari za watoto-Gazeti
  Nashon Kenedy

  25.Habari za watoto TV
  nanganile mwakanjala

  26.Habari za watoto-radio
  Mchome

  27.Ifadhi za taifa-Gazeti
  Paul Swaurts-raia mwema

  28.Ifadhi za Taifa-radio
  Alex Magwiza-TBC Taifa

  29.Utalii wa ndani-Gazeti
  Monica Luhondo

  30.Utalii wa ndani-TV
  Juma Lugazi

  31.Maafa na migogoro-gazeti
  Daniel Mbega

  32.Maafa na migogoro- radio
  Joseph bura

  33.Habari za sayansi na technlojia
  bernad lugongo

  34.Habari za sayansi na technlojia-radio
  Abel onesmo mwende

  35.Tuzo za telecomunication -gazeti
  Nevile Meena

  36.Habari zenye mvuto mkubwa kwa watu
  Polycap Machira

  Hotuba ya Waziri Nchimbi

  mswada wa sheria mpya ya habari nchini itashirkikisha wadau.
  uhuru wa vyombo vya habari uko juu sana tz
  vyombo vya habari vifanye kazi kwa weledi
  anamuomba rais awe akikutana na jukwaa la wahariri mara moja kwa mwaka
  anamkaribisha rais kutoa hotuba

  Hotuba ya Rais Kikwete
  Serikali itatazama namna ya kuunga mkono kuendeleza utoaji tuzo

  Tumieni siku hii kupima sekta ya habari nchini

  Tasnia ya habati tz imepata mafanikio makubwa-kwa uhuru wa habari

  vyombo vya habari vimeiongezeka nchini

  Serikali itaendelea kudumumisha uhuru wa habari nchini

  wanahitajika waandishi wazalendo kwa nchi yao

  je ni lazima kila picha mnazopiga zichapishwe?

  pamoja na uhuru mlionao waandishi je ni lazima kuandika habari za uchochezi?

  pawepo mfumo mzuri wa kusimamia ajira na maslahi ya waandishi nchini

  kuna waandishi wengi nchini hawana ajira na walioajiriwa hawajui hatima yao

  mtu yoyote atakayewalipa watamtumikia

  sijui kama wamiliki wana taratibu za kuajiri watu wenye sifa

  wanastahili kupata ujira mzuri,hawatakiwi kuajiri wasiosomea fani husika

  kuwepo mfumo mzuri katika kuanzisha vyombo vya habari na mfumo mzuri wa ajira

  waandishi watazame namna ya kutetea maslahi yao

  waandishi zingatieni maadili kwa kuandika habari za kweli na uhakika

  mpate machungu ya wale mnaowasingizia

  serikali itajikita katika kukuza sekta hii hasa katika mafunzo

  kupitia sheria mpya serikali itawekla utaratibu wa kusomesha waandishi nchini

  serikali inataka kuwepo uandishi wa kubobea katika jambo fulani

  kuna waandishi wanajitahidi kuonesha kuwa nchi ya tz ni ya hovyo,wakati wanaishi humo humo

  wakati mwingine mambo ya kufadhiliwa tabu tu,wengine hawataki tupige hatua

  nitaunda tume ya katiba siku chache zijazo,naomba waandishi mtusaidie kuelimisha jamii
  Rais Kikwete amemaliza hotuba

  Nawashukuru sana, ninakwenda kupumzika saa 11:47 usiku

  Wenu
  M.Byabato
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  thanks in advance!
   
 3. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mbona tbc wanarusha recorded program kuhusu utoaji tuzo kwa walimu

  si walisema TBC iko juu ya mawe? kwa nini wasirushe live star tv,channel ten au ITV badala ya hawa TBC1
   
 4. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  subiri kidogo,utajuzwa kinachoendelea
   
 5. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Kama hakuna KUBENEA,ULIMWENGU,MBWAMBO,NYARONYO na wapiganaji wengine kama hao,hizo tuzo ni danganya toto tu!

  naomba utuwekee vigezo vya hizo tuzo,wanapatikanaje? kwa kujaza fomu au kuteuliwa na NAPE
   
 6. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  mwandishi aliyefanikiwa kimaisha atapata sh milioni 10 ni kati ya Ben Kiko, Edda Sanga na Fili Karashani.
   
 7. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Tupe update basi kwani hawa TBC naona wanarusha habari za LOWASA arumeru
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Neville tosha!
   
 9. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  updates
  tbc wako live sasa mnaweza kutazama
   
 10. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Rais tayari ndani

  Mambo yameanza rasmi
   
 11. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maskini kipanya hayupo.
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 5,675
  Trophy Points: 280
  jamani Masoud Kipanya si mchora katuni bora Very Very Very Very Very Rubbish! U.jinga! Labda I'm missing something! Hata kwa washindani?
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Noooooooooooooooooooo yani mwandishi wa gazeti la cccm ndie mshindi wa upigaji bora wa picha?????
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 5,675
  Trophy Points: 280
  Masoud amekuwa against the govt wamemwadhibu! Tuzo hizi ushenzi tu!! Kama kitu cha wazi kama kwenye katuni wanachakachua huko kwingine?
   
 15. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hata mimi nimeshangaa kwa hilo?

   
 16. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Hivi washiriki kutoka UHURU nini hasa wamekifanya chenye kuwaingiza kwenye kinyang'anyiro hiki cha TUZO?? #RIP-TBCccm
   
 17. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ma-mc naona wako dis-organised!!
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 5,675
  Trophy Points: 280
  wanamfurahisha Rais? Nimekasirishwa na issue ya Masoud Kipanya! Kweli wanahabari wa Tanzania bado sana!
   
 19. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  frankly tuzo hizi zinanikumbusha Jerry Murro
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Usishangae kusikia miguno ya NGONO kwenye runinga ya #TBCccm. Haahaa yani shughuli inaendelea wao wanachomekea matangazo?? RIP-TBCccm
   
Loading...