Live kutoka Diamond Jubilee: Utoaji tuzo kwa waandishi bora 2011 - JK Mgeni rasmi

Naona list ya tuzo imeisha. Sijapenda categiries. Hapa waandaji waangalie upya. Kuna waandishi wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana hili sijaona. Kwa kifupi kuna kasoro tatu kubwa
1. Event management/organisation
2. Categories
3. Process ya kupata washindi

Na mwisho nyepesi nyepesi, wasifanye hii event iwe sehemu ya hotuba. Kuna watu wanatakiwa wajitahidi kuheshimu 'formal event'. Kila event lina uvaaji wake, waandaji wanaweza kutoa mwongozi (dress code) ili kuondoa hii aibu.
 
Kwa kweli tbc na
uhuru wanapende
lewa tu. Kuhusu kip
anya nadhani haku
peleka kwani
tuzo hizi hazitofa
utiani na za kill m
usic!
 
Tuzo
ni nzuri ila nimeona ziko bias. Sijaona najembe kama kina Ulimwengu na
wenzake, au ni za ma Junior. Ila alikuweko Comred Majura. Nyie
mmeonaje?

tuzo ni kwa waliopeleka kazi zishindanishwe na za wengine. una hakika walishiriki?
 
Ni tuzo ambazo nategemea zitapondwa kuliko zote. Za kibabaishaji, watu wameopeana weledi haukuzingatiwa!!!!!
 
Sijaafiki hizi tuzo za kuomba kushindana sio jambo zuri. Wapi kp,ulimwengu,kubenea hawakuchukua form za kugombea tuzo nini?
 
Back
Top Bottom