Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Labda kama CAF wataruhusu NEC na Geshi la polisi wawe sehemu ya waamuzi vinginevyo kamwe sisi hatuwezi shinda jambo lolote lenye mazingira ya haki na usawa tumeshazoe utapeli na ulaghai kwa kila jambo lenye ushindani.Leo tusipokula 3-0 basi Mungu Mkubwa...
Kushinda mechi hii tulimuhitaji Mahera awe referee wa kati na Sirro awe getini kulinda ubao wa matangazo wenye ushindi feki.
 
Kapombe anacheza nafasi nyingi

Kipindi kocha wa simba ni le chantre mbona kapombe ndio alikuwa akicheza juu ya mkude na Jkotei?
Mechi ya simba na Al masri zote mbili halafu utaniambia alikosea wapi
Aliifikisha Simba wapi.

Acha kuleta ubishi hapa. Tanzania ni timu mbovu. Wachezaji wabovu. Full stop.
 
Aliifikisha Simba wapi.

Acha kuleta ubishi hapa. Tanzania ni timu mbovu. Wachezaji wabovu. Full stop.
Hata kama ni mbovu lakini lazima tutafute solution ya matatizo yetu
Na Tatizo kubwa ni hilo la attacking mildfider ambapo ni lazima tutafute mbadala
 
Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake

Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili

kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid

Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
Timu yetu inatakiwa kuwfanyiwa TOTAL Over all
 
Mtu aliefeli ni sureboy kwa kuwa hakupiga pass yeyote kwa washambuliaji watatu.
Vilevile fei Toto nae ni holding kama wenzake tungepata kiungo kama chama au nionzima tungewaua
Nadhani kocha angefanya hivi
Nafasi ya sureboy acheze Farid halafu pembeni acheze Nado /Dilunga
Au nafasi ya sureboy acheze Shomary kapombe na nafasi ya kapombe izibwe na mtu mwingine

Options ya mwisho ni kumjumuisha kikosini Haruna chanongo ndio anaecheza hilo eneo natural au yule Dilunga wa Ruvu shooting
Halafu huyo mchezaji dizaini ya Chama / Niyonzima tunae. Kuna muda kocha inabidi amuite Ajib, kwenye club hapati namba si kwa sababu hana ubora ila ni kwa sababu kuna wachezaji kama yeye wengi. Ila katika timu ya taifa hakuna mchezaji wa aina yake
 
Dah,umenikumbusha kweli yupo Ajibu na pia Mo Ibrahim kabla hajawa mlevi

Ila Ajib siku za karibuni an a improve sana
 
We ni m'bishi usie na aibu.. hii ni timu ya taifa futa mawazo ya club.. kisha tuendelee..! mkude na nyoni nani kapiga pasi nyingi na kwanini? na amepora mpira mara ngapi?
sure boy amepeleka mipira mingapi mbele?
himid mao ametimiza malengo yake kwa washambuliaji..
hawa wote nature yao ni holding mildfilder. bado mechi ilikua haimuitaji fei?
Mambo ya Nyoni.....umepuyanga hujaeleweka nn unataka.
Unacheza dhidi ya Tunisia, bado unataka uweke mchezaji anayepiga back pass na square pass nyingi kuliko za kwenda mbele ( Fei).
Mechi ilituhitaji sisi kukaba zaidi ( Kubali kataa hatupo level moja na Tunisia lazima tuwaheshimu).
Kwa viungo walioanza fei anamzidi nani ukabaji?
 
Hata kama ni mbovu lakini lazima tutafute solution ya matatizo yetu
Na Tatizo kubwa ni hilo la attacking mildfider ambapo ni lazima tutafute mbadala
Le chante alikuwa bonge la kocha ila alishindwana na simba kwenye mshahara aliweza kumsogeza Kapombe kuwa kiungo mkabaji lakini kocha wa sasa kakariri mkude , Mzamiru na Dilunga
 
Mambo ya Nyoni.....umepuyanga hujaeleweka nn unataka.
Unacheza dhidi ya Tunisia, bado unataka uweke mchezaji anayepiga back pass na square pass nyingi kuliko za kwenda mbele ( Fei).
Mechi ilituhitaji sisi kukaba zaidi ( Kubali kataa hatupo level moja na Tunisia lazima tuwaheshimu).
Kwa viungo walioanza fei anamzidi nani ukabaji?
Hahahaaa we jamaa.. kiungo gani alikua anakaba ile mechi?
himid mao?
sureboy?
mkude?
nini kilimfanya mwamnyeto na nyoni wawe wanakabia mpira katikati wanapeleka mbele?

uliangalia mechi yetu na burundi afu unanambia fei hajui kukaba..?
 
Mkuu unauliza nani alikuwa ana kaba ina maana hukuona?
Asa fei anamzidi nani kukaba kati ya hao?
 
Mkuu unauliza nani alikuwa ana kaba ina maana hukuona?
Asa fei anamzidi nani kukaba kati ya hao?
Tatizo sio kukaba tatizo ni pale kiungo unakaba lakini pasi zako unapoteza.. mkude anahitaji kiungo anae kaba sana bila hivyo hamna kitu.. kwa kikosi kile ilikua lazima tufungwe.. ukiachana na feitoto sio lazima hawa wanaocheza nje, au klabu kubwa za simba na yanga wawe wanaanza.. mi naona kocha alianza kupuyanga kwenye kikosi.. mwisho akamalizia kwenye formation.
 
Unaongea yote unasahau unayecheza naye ana uwezo gani..
Kocha alikosea formation, Ulitaka mfumo upi utumike?
Naona unanipotezea mda, Ngoja nikuache kocha wa JF.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom