Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Screenshot_20201113-211218~2.png
Hakuna timu hapa. Kipigo kiko palepale
 
Kiitikio
Ḥumāt al-ḥimá yā ḥumāt al-ḥimá
Halummū halummū li-majdi iz-zaman
Laqad ṣarakhat fī ‘urūqinā ad-dimā
Namūtu namūtu wa-yaḥyā al-waṭan
 
Juzi watu wamecheza simba na yanga, nadhani wako fit sana,
Mimi namatumaini na Taifa stars watafanya vizuri.

Fei Salum angeanza ingekua poa, huwa hayupo serious sometimes ila anajua kisenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom