nipo katika ukumbi wa MGM Grand nikifuatila kwa karibu kabisa mapambano ya utangulizi.
Lakini kinachosubiriwa hapa ni pambano kati ya Maywether na Alvarez...
Twende sasa.........
mzee mwenzangu kwema?
Dah mkulungwa mwenzio jana nimeomba poo dakika ya 96
Round 10
Round 10
Round ya 11 dogo Alvarez anajitahidi.
Round ya 11 dogo Alvarez anajitahidi.
Kwema kiasi Mzee, safari hii naona kuna vijana hawana adabu kabisa, sijui huko kwao hakuna wazee?
yaani sheikh nkawa nshajiandaa na majibu...dah
Upo MGM grand Ya Vingunguti au ya Manzese?
Hahahahahaa, pole Sheikh
Sasa huyu Mayweather inabidi tufanye mpango akatane na The General himself, Gang Chomba, au unaonaje mzee?
It is Mayweather..........