LIVE from Juventus Stadium: Juve VS Madrid...the match is ON...

LIVE from Juventus Stadium: Juve VS Madrid...the match is ON...

Tuweke Ushabiki pembeni, hivi Ac Milan inapigania Kombe gani msimu huu???


Hah hah hah sheikh ndo kwaanza game ya 11 ya Serie A...acha papara.
nyie ndo wale mnaofturu saa kumi jioni...
 
Hivi Gang Chomba siku ile mlivopigwa 4 - 0 Camp Nou ulijisikiaje?


nilijisikia kama wao walivyojisikia mwaka 94 nilipowananihii goli 4 katika Fainali ya champions League...
 
namuona Carlo Ancelotti ananikumbusha kikosi cha Milan cha mwaka 1989 kilichokusanya wataliano 8 na waholanzi watatu yaani Van Barsten, Rhiijkard na Gullit...
Huku winga akiwa Ancelotti, winga Donadoni...

Enzi hizo ilikuwa nia Wadachi wa AC Milan dhidi ya Wajerumani wa Inter Milan, kumbuka hiyo trio ya Oranje ilikuwa imebeba ndoo ya Euro ya 1988!
 
Lionel Messi scores his 65th goal in
the Champions League. Aged 26, he is
now 6 goals away from the all-time
record of Raul (71)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom