Natamani Milan washinde match ya leo
Acha kumdhihaki Gang Chomba.
Natamani Milan washinde match ya leo
Acha kumdhihaki Gang Chomba.
Hakika, namaanisha! Sijawahi kuipenda Barca yako Mzee
Unahamu ya kudanganywa sio?
Milan 3-1 Barca
Tuweke Ushabiki pembeni, hivi Ac Milan inapigania Kombe gani msimu huu???
Kombe la Mbuzi
penati ya mbeleko ile...
Mourinho sema neno kuhusu Messi.
na ili awe doctor afanyeje?Nesi hajawahi kuwa Doctor