LIVE from Juventus Stadium: Juve VS Madrid...the match is ON...

LIVE from Juventus Stadium: Juve VS Madrid...the match is ON...

Hivi Gang Chomba siku ile mlivopigwa 4 - 0 Camp Nou ulijisikiaje?
 
Juve wamekuja kujiuliza hapa kwao, baada ya kulambwa goli 2-1 hukoo El Santiago Bernabeu.

Kwa harakaharaka tuanze na kikosi cha Juve.
Golikipa ni Gigi Buffon, ukuta umewakusanya Caceres, Bonucci, Barzagli, na Asamoah.
Wakati kiungo kimewajumuisha Mzee Pirlo, Marchisio, Pogba na Vidar Pardo.
Wakati kule mbele kuna wageni, yaani yupo Ngoma ngumu Oscar Carlos Tevenga na Lrolent...


kwa upande wa Real Madrid Golikipa yupo Iker Casilas, wakati nafasi ya ulinzi ina watu watatu hapa nawazungumzia Varane, Abdalah Pepe na Sergio Lamos.
Kiungo kuna Modric, Alonso, Bale na nani sijui...
Wakati pale Mbele yupo Ronaldo na Benzema...

Huku kocha Conte...
Kule kocha yupo bingwa wa Mbinu yaani Carlo Ancelotti ambae ameshalibeba kombe hili mara mbili akiwa mchezaji, na mara mbili akiwa kocha...
Na mara zoote hizo akiwa na ile klabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan...

Forza Milan.
Mbona hauna updates za Nou Camp,wamekuban au haudhurii mechi za Camp Nou,nione nina tiketi free ntakupatia leo,naona mlikubali mmepoteze ligi j1 kwa ajili ya kupunguza kapu la magoli leo Nou Camp huku ukijua wazi leo Messi Messiah anafunga yani kama mgonjwa AC Milan hakatai dawa leo.
 
Line-up confirmed!
Valdés; Dani Alves, Piqué,
Mascherano, Adriano; Xavi, Sergio
Busquets, Iniesta; Alexis, Messi
and Neymar
 
Ac Milan wanaonekana wenye huzuni sana, nadhani wanaingia na matokeo yao. Wanayajua Matokeo yao tayari.
 
Mpaka sasa kipa wa Barcelona hajadaka mpira.
 
Gang Chomba najua huwezi kutokea pande hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom