LIVE from El Santiago Bernabeu: Los Blancos VS Bianconelli...Madrid na Juve

LIVE from El Santiago Bernabeu: Los Blancos VS Bianconelli...Madrid na Juve

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
ni katika mechi ya tatu kwa kila timu msimu huu. Madrid anakwenda pambana na mbabe wake hapa nawazungumzia vijukuu na vitukuu vya Bibi Kizee wa Torino Bibi Lavecchia Signora.

Mara kadhaa Madrid wamekuwa wakifurumushwa kwenye mashindano na Juve.
lakini miaka ya Karibuni Madrid wamekuwa nondo, na haswa msimu huu kocha pia wamempata...si mwingine ni bingwa wa Mbinu yaani Carlo Ancelotti, kocha aliebeba champions League mara mbili akiwa kama mchezaji na mara mbili akiwa kama Kocha na mara zote hizo akiichezea klabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan.

Juve wakiwa na Vidal Pardo, Carlos Oscar Tevez, Uncle Panenca na golini akiwa Gigi Buffon wamesafiri mpaka El Madriga Espana' kwenda kupambana na Christiano Ronaldo, Isco, Modric na labda Casilas.

Hakuna kutegea, tuwe wote kuanzia sasa mpaka Fabo litakapoisha...
 
juve2012, Mourinho, Bologna, viper, Balantanda, Belo, Ndetichia na wenye Juve wengine mje hapa mtueleze matarajio yenu...je mtaendelea na 3-5-2 au mtakuja na sarakasi nyingine?

Dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe...na siku yenyewe ndo leo sasa
 
Juventus aim to channel spirit of Del Piero in Madrid

'Niente Paura'. It’s a song by Luciano Ligabue, Italy’s Bruce Springsteen. and means 'No Fear'. Chosen as the soundtrack by the country's TV and radio stations covering Juventus' visit to Real Madrid tonight, coach Antonio Conte has insisted the Bernabeu is nothing for his players to be afraid of. There’ll be no 'miedo escenico', as they say in Spain: stage fright.

And besides: remember Juventus' last visit to the garden of Di Stefano, Puskas and Gento? It was five years ago. Back in the Champions League for the first time since their relegation following the Calciopoli scandal in 2006, Juventus were hardly the corazzata, or dreadnought, that they have become under Conte.

Alex Manninger was in goal, Olof Mellberg and Cristian Molinaro were at the back, Marco Marchionni, Momo Sissoko and Tiago made up the midfield and Amauri was in attack. Let’s just say it wasn't one of the Old Lady's best looks. But sometimes all you need is a couple of pieces to make a modest outfit shine. Pavel Nedved was one. Alessandro Del Piero the other, the most resplendent of all.

Replaced by Claudio Ranieri in the final minute, the Juventus No.10 received a standing ovation from the Bernabeu. "It was one of the most beautiful moments of my career," Del Piero recalled to La Repubblica. "That night was worth a trophy, and one of the most important ones … I figure that it’s a bit like the conductor of an orchestra receiving a long round of applause from the audience at La Scala, sort of like passing an exam, the diploma from which is valid forever."

For the following morning's La Gazzetta dello Sport, he was 'Ale King of Spain'. Turning 34 that weekend, he’d given himself an early birthday present. Twice Del Piero had got the better of Iker Casillas and his goals claimed a famous 2-0 win for Juventus, their first at the Bernabeu in nearly 46 years.

The virtuoso performance began when a sloppy pass from Guti was seized upon by Marchionni after quarter of an hour. He immediately played the ball into Del Piero, who pirouetted, a movement that was delightful for its simplicity, and ran at Fabio Cannavaro before finding the bottom corner from outside the area. Out came the tongue. That’s when you know Del Piero has scored.

He’d do so again midway through the second half. A clumsy challenge from Cannavaro on Sissoko had yielded a free-kick on the edge of the area and he should have known better than to give one away when Del Piero was on the opposing team. Under the eyes of Diego Maradona, whose dead ball techniques he’d practiced along with those of Michel Platini and Zico while growing up, he executed the perfect 'foglia morta', or 'dead leaf', a shot that faded as it went outside the wall and down into the net.

If all that wasn't enough, a hat-trick looked on too, as Vincenzo Iaquinta crossed for Del Piero in the box and watched as his captain brought the ball under control, turned his man and dragged his shot inches wide of the far post. Pinturicchio, as Gianni Agnelli used to call him, was magnificent. The crowd recognised as such.

To this day it still leaves Del Piero speechless. "The Bernabeu on its feet for me after the two decisive goals … The surprise at getting that applause which got louder and louder and louder … The standing ovation … I will never stop thanking the Madrid fans for that homage. And I’d like to remind you, the reader, that they were losing 2-0 at home. This makes it all the more incredible."

Of the current Juventus team, only Giorgio Chiellini played on that memorable night. Goalkeeper Gigi Buffon of course went there a decade ago for a Champions League semi-final, losing the first leg 2-1 before prevailing a week later back at the old Delle Alpi ground in Turin by a 3-1 scoreline in one of the all-time great Juventus performances. They both know what to expect. As does Fernando Llorente, of course.

"It’s a ground that instills fear," Del Piero admits. "It’s huge, [and imposing]. And it's hot too, noisy and the fans know how to frustrate you with that din of theirs. I know that sensation well, but at times that atmosphere can lift you like nothing else."

Conte will be hoping it lifts his players. Two-nil up and in complete control against Fiorentina on Sunday afternoon, they conceded four goals in the space of 15 second-half minutes and lost their first game of the season.

Questions are being asked of Juventus. Do they have the same hunger as in the last couple of years? Is it time they changed the way they play? A shift from 3-5-2 to 4-3-1-2 is expected tonight. Juventus' disappointing draws away to Copenhagen and at home to Galatasaray mean they require a result if they are to remain in contention to qualify from the group stages.

It’ll take "courage, sacrifice, heart, and tactical organisation," says Conte. That and of course the spirit of Del Piero. He may be in Sydney but make no mistake about it, his presence will be felt at the Santiago Bernabeu.
 
vipi mkwakwani na manungu leo inakuwaje? ...wabongo bwana!
 
vipi mkwakwani na manungu leo inakuwaje? ...wabongo bwana!

MAGAZETI YA LEO ITALY...
1. TUTTOSPORT
Juve Senza Paura
Juve without Fear...

2. IL CORRIERO DELLO SPORT
FantaNapoli... Milan di Ferro
Fantastic Napoli... Milan of Steel
 
juve2012, Mourinho, Bologna, viper, Balantanda, Belo, Ndetichia na wenye Juve wengine mje hapa mtueleze matarajio yenu...je mtaendelea na 3-5-2 au mtakuja na sarakasi nyingine?

Dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe...na siku yenyewe ndo leo sasa

Kwa kushadadia mambo huna mfano, jana wamecheza Rosonerri, ulikua wapi kuanzisha thread ya team yako kipenzi?

Anyway wanabianconeri tupo na siwezi kuikimbia team yangu nije kuonekana hapa baada ya matokeo, "tutatosha muziki mpaka shuzi yake"

Leo hatuchezi 3-5-2, leo ni 4-3-1-2 huku tukiwa na mzimu wa Del Piero, ule ulioisimamisha bernabeu yote kumpigia makofi na kuamua kumpa heshima hii 'Ale king of Spain'

Kama nilivyosema huko nyuma, "mwenda kwao haogopi giza"
Basi wao madrid wanajua leo mwenye mji yupo bomani, marufuku kulala na chupi!
 
Yaani Mechi ya Leo nitakuwa kwenye TV kuanzia 3:30 ili nione Real Madrid atakavopumulia Mashine kama kwao Bernabeu kama alivotokea mbavuni jana Ac Milan, San Siro.
 
Yaani Mechi ya Leo nitakuwa kwenye TV kuanzia 3:30 ili nione Real Madrid atakavopumulia Mashine kama kwao Bernabeu kama alivotokea mbavuni jana Ac Milan, San Siro.

Swadakta, wenye nyumba jana waliihama kwa muda nyumba yao, wakarudi baadae tena kwa kuchungulia madirishani, huku wakiuliza "vipi jamaa wameshaondoka? hawajachukua chochote?"
 
Yaani Mechi ya Leo nitakuwa kwenye TV kuanzia 3:30 ili nione Real Madrid atakavopumulia Mashine kama kwao Bernabeu kama alivotokea mbavuni jana Ac Milan, San Siro.

Goal.com wametoa player ratting...so kule ndo utajuwa nani kapumulia mashine...
 
Swadakta, wenye nyumba jana waliihama kwa muda nyumba yao, wakarudi baadae tena kwa kuchungulia madirishani, huku wakiuliza "vipi jamaa wameshaondoka? hawajachukua chochote?"

Ni uwanja pekee ambao mpira ukishaanza basi Milango inafungwa...hakuna kutoka mtu hata ukipata habari ya Msiba wa mzazi wako...uwanja huo ni Yusuphu Meazza ama Giussepe Meazza au ukipenda uite Sansiro.
So wenye mji jana tulikuwepo sheikh
 
Inafahamika kuwa Real Madrid ni kibonde wa Juventus,Madrid wanakumbuka jinsi Del Piero,Trezeguet na Nedved walivyokuwa wanawatesa huko nyuma.Lakini huenda safari hii wakafuta uteja Madrid watamkosa sana Alonso naamini huyu ndio anaweza kumzuia Pirlo kwa mtazamo wangu game itakuwa droo au Juventus atafungwa
 
Leo ni 4-3-1-2 hapo lazima wapumulie mashine madrid. Daah ila naumia sana kumkosa Quagliarela. Forza Juventus. Leo kunawatu wataishangaa Juve inavyocheza vizuri. Kafara tuliyoitoa Florence kwa Viola week end yatosha. Madrid lazima apigwe kama tulizopigwa week end na Viola.
 
Madrid ameshatambua tangu mwanzo kupata point kwa Juve ni shughuri pevu ndio maana anakomaa na hao wakina Gala na mwenzie. Na juve anatambua point 6 nyepesi kwake ni game na Madrid. So atuachie point zetu 6.
 
Leo ni 4-3-1-2 hapo lazima wapumulie mashine madrid. Daah ila naumia sana kumkosa Quagliarela. Forza Juventus. Leo kunawatu wataishangaa Juve inavyocheza vizuri. Kafara tuliyoitoa Florence kwa Viola week end yatosha. Madrid lazima apigwe kama tulizopigwa week end na Viola.

Kama Conte ana akili ya ushindi basi mbele waanze Tevez na Vucinic
 
Nimewasili ofisini.Nitakuwepo hadi saa saba usiku.Juve nimeishangilia SERIE B sembuse leo?jana nimeota Madrid kapiga moja first half na alikuwa anatushambulia sana hadi dk ya 75 Juve kasawazisha ila mchezaji simkumbuki halafu dk ya 86 "panya" kapiga la pili unexpectedly!ila mwisho Juve walikosa bao la wazi sana!dah!sijui nitazame maana matokeo nishayajua leo hata pweza wangu Zeroseventytwo nimemshinda!
 
Last edited by a moderator:

Kwenye ndoto yako hukuota kwamba leo tutacheza 4-3-1-2?
 
Last edited by a moderator:
Yani Mourinho 4-3-1-2 ndio mkombozi wetu leo. speed ya wachezaji wa Madrid ukimweka Bonucci, Chielini na Barzagli pekayao lazima mmoja achome nyumba leo. Bonucci tena kwa kuchoma akiona mperampera.
 
Yani Mourinho 4-3-1-2 ndio mkombozi wetu leo. speed ya wachezaji wa Madrid ukimweka Bonucci, Chielini na Barzagli pekayao lazima mmoja achome nyumba leo. Bonucci tena kwa kuchoma akiona mperampera.

Unapenda nani na nani waanze leo?

Mie list yangu iko hivi,
Buffon,
Lichtsteiner, Barzagli, Bonucci, Chiellini (mabeki)-4
Pirlo, Pogba, Asamoah(viungo)-3
Vidal (nyuma ya washambuliaji)-1
Tevez na Vucinic (washambuliaji)-2
 
juve2012, game ya leo mshindi ataamuliwa ndani ya dk 20 za mwanzo. Kivipi, kama kuna timu itapata goli ndani ya hizo dk 20 matokeo yatakuwa hivi: kama ni juve atapata goli 1 mpaka dk ya 20 mpira utaisha juve 1-0 madrid. Kama madrid watakuwa mbele kwa goli 1 mpaka dk ishirini game itaisha Madrid 3-0 juve:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom