Live football game online...

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Hello guys,

Jamani michezo ya kombe la dunia ndo kufunguliwa leo, natamani sana kuishuhudia but nahisi ratiba yangu itanifanya nishindwe kushuhudia mechi nyingi sana.

Please kama kuna mtu anaweza kunisaidia ni jinsi gani naweza kufanya ili niweze kuiangalia online kupitia pc..

Pongezi na shukrani zimuendee mkali atakayefanikisha hii kitu aisee, nimefurukuta sana but nakiri kushindwa hadi sasa
 
Kama una net ya kueleweka ingia torrent-tv.ru unapata HD ya 720P-1080P ila jiandae kuchelewa kwa dakika 1 yaani wenzio wanashangilia goli huko wewe hadi dakika moja mbele ndo utaliona hilo goli pili lugha inayotumika ni ya Mrusi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
vipboxasia.net ni kiboko hata kama speed ya net yako inasuasua itahimili, nimeshatumia site nyingi ku stream, ila kwa hii sikuwa disappointed kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom