Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
What about thinking capacity?
Ndio nachokizungumzia au unadhani nazungumzia kufanana vidole??
What about thinking capacity?
Kama jaji mkuu alijiengua kwa shinikizo la kutakiwa kutofanya justice yaani kupindisha hukumu. sasa huyu aliyekubali nafasi hiyo amelikataa hilo sharti?
Umesema ukweli mkuu. Reporter anatakiwa kuripoti kile kinachojiri. Masuala ya itikadi hayafai katika kuripoti. Atende haki kwa wote.
Mambo yanaendeleaje hapo?
Wananchi wa Arusha wamepata hasara kubwa sana kumchagua huyu mtu. Kwa sasa naamini hawatakaa warudie tena kufanya kosa kama hili.
Nikweli kabisa hayo unayoyasema wanaojua kujenga hoja ni Lusinde na prof maji marefu
Mkuu Rejao
watu ni wabishi tu kukubali lakini ukweli ni kwamba Lema ni janga la kitaifa. Kuwa jasiri kusimama jukwaani na kukashifu,kuchochea maandamano haifanyi mtu kama Lema kuwa mtu makini wa kupewa dhamana ya uongozi. Tena kwenye nafasi muhimu kama "mbunge". Nlishaawambia na naendelea kuwaambia Lema hana sifa ya kushika nafasi nyeti katika jamii,hana uwezo wa kujenga hoja makini,hana elimu ya kutosha kufanya hivyo,na hana busara.
Kuungwa mkono na kundi la vijana wa sasa walioshiba ndoto za kulala maskini na kuamka tajiri,wasiotaka kufanya kazi zinazoendana na hadhi na maisha yao,wanaochagua kazi nyepesi na kudai maisha bora,wanaoendeshwa na siasa hasi,mabadiliko yasiyo na tija..kwangu sio credit za kumkubali Lema. Watu wamekuwa wajinga kiasi cha kujisadikisha kuwa umaskini ni sifa ya kujivunia. Utakuta mtu na kili zake anasema "tumchague ni maskini mwenzetu, ni mtoto wa mkulima mwenzetu,..". Badala ya kuangalia sifa na vigezo mnashambulia hadhi au asili! Na tabia hii wanayo sana vijana wa Arusha na kwingineko mijini.
Acheni kufanya kazi mkisubiria the so called "ukombozi",ambao hamtauona hadi mnakufa.
Ndio nachokizungumzia au unadhani nazungumzia kufanana vidole??
Simuoni kamanda Kitila Mkumbo kwenye thread.Au atakuwa darasani??