K KALENDA Member Joined Jan 21, 2011 Posts 72 Reaction score 28 Nov 5, 2014 #2 Walikuwa wanasalimiana !.Tanzania si mchezo rushwa haitoisha kama msimamizi wa sheria ndio anafanya hivyo je raia wa kawaida atafanyaje?.
Walikuwa wanasalimiana !.Tanzania si mchezo rushwa haitoisha kama msimamizi wa sheria ndio anafanya hivyo je raia wa kawaida atafanyaje?.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Nov 5, 2014 #3 Hapo wazi kabisa....
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Nov 5, 2014 #4 Nasikia ndo zao hizo huko mitaani.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,180 Reaction score 829,142 Nov 5, 2014 Thread starter #5 NAPITA said: Nasikia ndo zao hizo huko mitaani. Click to expand... Wala hazina kificho kuna mmoja namvizia kila siku pale big brother namkosakosa ila atanasa tuu
NAPITA said: Nasikia ndo zao hizo huko mitaani. Click to expand... Wala hazina kificho kuna mmoja namvizia kila siku pale big brother namkosakosa ila atanasa tuu