KIGHERA
Member
- Nov 19, 2010
- 84
- 27
Habari za j2,
nimekuja mbeya kama miezi 2 imepita ila weekend huwa naboreka, maana huwa napendelea zile live band (mziki wa watu wastaarabu) ila sijua kwa mbeya zinapatikana wapi.
Sasa wazee wa mbeya nijuzeni ntazipata wapi angalau kuanzia ijumaa nikapumzishe akili.