Live Azam2:EID komedi gala

Hahaha ha mm pia nafuatilia hamna kitu
 
Sijui ni ugeni wa haya mambo hapa kwetu .. !

Kama vile Hamjajipanga.

Mnanifanya mpaka nione aibu kuendelea kuangalia hii kitu.
 
Huyu pilipili Sijui kaona kuchekesha ni kupiga story za America tu.
 
Sema tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…