maana naona hadi sebuleni na falao kisha tweta ila pazini atawacost wasipo kuwa makini..brazili mabeki nambari mbili na tatu (mafulubeki) mawinga, ndio asili - cafu, carlos, companero na wengineo
huwa wanasema mjenzi huru huwa hakosei yaaani yupo perfecty mwanzo mwisho anaweza fanya hivyo...Mwenyezi Mungu amwongezee Lionel Messi magoli mengine mengi kwenye hii mechi.
Amina.
Kwani dhambi?
kuna baadhi ya gemu huwa hapandi kabisa hasa wakiwa wamenyewa..ila gemu ya leo ni droo kwani huwa wanajikuta wanacheza sana pasi zisizokuwa na maana..Ni beki na kuna msimu alitoa assist nyingi kuliko hata viungo.
hili nalo neno..Tatizo Barca huwa hawana plan B.
Tatizo Barca huwa hawana plan B.
Umeona mkuu wangu? Watu hawajui kama kuna kitu kinaitwa factor of safety.............. Kwa mfano msome huyu hapa chini..................huwa wanasema mjenzi huru huwa hakosei yaaani yupo perfecty mwanzo mwisho anaweza fanya hivyo...
Plan B? Yanini kama Plan A inalipa? Maisha ni leo au kesho??? Damn!!!!!Tatizo Barca huwa hawana plan B.
hee inamaana hiyo swali ni uchokozi..hahahahaha mbona una maswali ya Kichokozi?
mkuu wanahali ngumu sana kama ni sekondari basi ni kipindi cha mwezi dume..Game ipo wazi sana kwa Milan, get in Traole for Muntari and Niang for Pazzini
mkuu wanahali ngumu sana kama ni sekondari basi ni kipindi cha mwezi dume..