LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

babu hizo highlight za pande hatare tupu.. pazini kaumia hapa..
 
Hapo umenena. Nakumbuka mwaka juzi RvP alipopewa kadi nyekundu kiajabuajabu wakati wa mechi yao na Arsenal

Most of the time wakikutana na team ngumu zilizojipanga vizuri, lazima wapinzani wamalize nusu uwanjani ili wao washinde na wakati mwingine huwa zinadont
 
prince anaanza ufaza na pazini anazubaa sana..

sub
pazzini out niang in
 
Balaaaaaaa!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1361394965.479074.jpg
    66.4 KB · Views: 62
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…