donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Ndio unaanzaje kaka kwa mfanoNi suala la kumuelezea vizuri tu na kutafuta namna ya kulitibu...sio kuanza kumlaumu
Nimekubali mkuuKuwa diplomatic zaidi, muulize kama ameshafanya sexual health screening, jibu utakalopata unaanzia hapo, unaremba umuhimu wake, na vitu vingine.
Naona ndomana wazenji hua wanajifukizia udi kwenye niaje zaoMuelekeze namna ya kuondoa harufu au namna ya kujisafisha.
Unajua sometimes inaweza kuwa Ni harufu ya asili au uchafu but all in all kabla ya kukutana inabidi ajioshe deep huko.
Marashi pia muhimu.
Daaah, yataka moyo walahiHuo ujasiri ulopata kuja kuandika humu utumie kuongea na mpenzio...
Kama ni mwelewa atachukulia sawaa na mtafute njia ya kutibu tatizo, ila kama sio mwelewa kazi unayo!!!!
We mwambie wakati mkiwa kwenye mazungumzo yenu ya kawaida, tafuta jinsi ya kulichomekea hapo tena kwa upendo kabisaa...
Kwa kuongea nae kiupole sio kwa jazba mkuuNdio unaanzaje kaka kwa mfano
Hii imekaa poa.Kuwa diplomatic zaidi, muulize kama ameshafanya sexual health screening, jibu utakalopata unaanzia hapo, unaremba umuhimu wake, na vitu vingine.
Hahah.. much respect mkuuNi suala la kumuelezea vizuri tu na kutafuta namna ya kulitibu...sio kuanza kumlaumu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]Serious like a matter of national security... I'm dead!!!
Ndio mkuuKwa kuongea nae kiupole sio kwa jazba mkuu