Ninyi watu wa serikali mlio kwenye nafasi za Kuregulate hizi Bei za kipuuzi ,mnafanya Nini huko maofisini
Pathetic
Aaaaratcfaajavafajkanagrtyjn
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwahio unataka kutuaminisha kuwa demand imekuwa kubwa?Hakuna anae regulate bei, bei ina-flow na principle ya Demand and Supply (form II)
Kama ndivyo mamlaka za udhibiti kama LATRA au TCRA zimeundwa za nini?Hakuna anae regulate bei, bei ina-flow na principle ya Demand and Supply (form II)
Supply ya wese imeshuka.Kwahio unataka kutuaminisha kuwa demand imekuwa kubwa?
Kama ndivyo mamlaka za udhibiti kama LATRA au TCRA zimeundwa za nini?
Mama Nchi isha mshinda, Kesha zidiwa kete na Wafanyabiashara Ma Papa!!Mbuzi wanakula kwa urefu wa kamba!
Ambao hawana kamba ndiyo hivyo tena.
By the way kuna option ya mafuta ya kitimoto, kuna nazi etc
Jamani hemu tuache kulalamika kwenye kila jambo,Kama ndivyo mamlaka za udhibiti kama LATRA au TCRA zimeundwa za nini?
Igweeeeeemafuta ni lakshari, yapande mpaka 500k
Motivational speakers bana.Jamani hemu tuache kulalamika kwenye kila jambo,
Ni kweli kwasasa kuna inflation,kwenye baadhi ya idara kama ujenzi kunahitaji suluhu ya serikali,mfano kama tatizo ni kodi basi wapunguze kodi ama kama si kodi basi waruhusu bidhaa za nje ambozo kama bei ya bidhaa kutoka nje ni za chini vitaleta ushindani kwenye viwanda vya ndani,hakuna sababu yakulinda viwanda vya ndani wakati wananchi wanaumia.
Kwenye mafuta ya kula ni fursa kwetu,nenda shamba kalime alizeti,wakati wewe unalalamika wenzako wanapiga pesa,watanzania tuache ujinga,kilimo cha alizeti risk ni ndogo sio kama kulima mahindi,alizeti haina matatizo ya kuliwa na wadudu,alizeti haihitaji mvua nyingi hivyo inaendana na haya mabadiliko ya tabia nchi.
Huwezi mwambia raia kwamba kama unaona bei ya nondo ni kubwa jenga kiwanda chako,hapa utakuwa unamtusi kwani ujenzi wa kiwanda cha nondo hataweza na ndio sababu yakuitaka serikali itafute suluhu lakini kwenye mafuta ya kula ni ujinga kulalamika wakati ni fursa kwetu.
Wacha kulalamika nenda shamba kalime alizeti.