ICJ kwa uwakili wa kusimamia vikesi uchwara vilivyopelekwa mahakamani sababu tu ya siasa.Hakuna kesi yoyote ambayo iliyokuwa na mashiko LISU alishinda katika huu ulimwengu wa Sheria kuna watu kama MASUMBUKO LAMWAI,MARANDO,MAJURA MAGAFU, PROF SHIVJI ,KABUDI, SAMATHA J,NYALALI J. msije mkafikiri ICJ ni kisutu. Watu tunachungulia kila maktaba za bongo hakuna hata kijarida alichoandika LISU wala mawazo mapya aliyoyaleta kwenye ulimwengu wa Sheria .Hata akifa Leo hakuna cha kukumbuka kwake zaidi ya tukio la Risasi zote kuishia mwilini kwake bila kufa.Baada ya kuvuliwa Ubunge mh Tundu Lisu kupewa majukumu mapya Huko mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa Kivita akijiandaa kumrithi mama yuleeee.Najaribu kuwaza kwa sauti nikimkubuka dr Mwele Malechela.
Leo na Mimi nimeanzisha thread ya kumuudhi mtu.
View attachment 1142380
Akilamba hii kazi,ndugai atakufa kwa kihoro,yaani mishuzi itakuwa inamtoka kwa mfululizo,Baada ya kuvuliwa Ubunge mh Tundu Lisu kupewa majukumu mapya Huko mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa Kivita akijiandaa kumrithi mama yuleeee.Najaribu kuwaza kwa sauti nikimkubuka dr Mwele Malechela.
Leo na Mimi nimeanzisha thread ya kumuudhi mtu.
View attachment 1142380
Mkuu hao walikuwa na mwanzo!huoni Kama Lisu Safari yake itaanzia hapo Kwenye risasi mpaka Kwenye ulimwengu wa ubobevu wa sheria?ICJ kwa uwakili wa kusimamia vikesi uchwara vilivyopelekwa mahakamani sababu tu ya siasa.Hakuna kesi yoyote ambayo iliyokuwa na mashiko LISU alishinda katika huu ulimwengu wa Sheria kuna watu kama MASUMBUKO LAMWAI,MARANDO,MAJURA MAGAFU, PROF SHIVJI ,KABUDI, SAMATHA J,NYALALI J. msije mkafikiri ICJ ni kisutu. Watu tunachungulia kila maktaba za bongo hakuna hata kijarida alichoandika LISU wala mawazo mapya aliyoyaleta kwenye ulimwengu wa Sheria .Hata akifa Leo hakuna cha kukumbuka kwake zaidi ya tukio la Risasi zote kuishia mwilini kwake bila kufa.
Ndugai ni kipaza sauti tu mkuu.Kumbuka Ndugai kafanya haya kutii agizo baada ya kujichanganya kwa mtoto kipenzi na Taifa stars Sasa anajaribu kubalance situation pale magogoni.Akilamba hii kazi,ndugai atakufa kwa kihoro,yaani mishuzi itakuwa inamtoka kwa mfululizo,
Hakuna ubobezi kwa kuzungumza waliofanya wenzako tu lazima pia tusome mawazo yako ili tuone unafaa kuwa hivyo siyo porojo na kutukana ulikotoka kwa ufupi Quality ya Kibatala katika Sheria ni kubwa sana kuliko LISU na ukiingia kwenye maktaba za vyuo kikuu utakutana na mawazo yako.Mkuu hao walikuwa na mwanzo!huoni Kama Lisu Safari yake itaanzia hapo Kwenye risasi mpaka Kwenye ulimwengu wa ubobevu wa sheria?
Lipumba au ni lumumba mwenzenu??Mbowe ajiuzulu kiti amuachie Lissu pale ufipa, itapendeza zaidi.