Lisu kuula ICJ

Lisu kuula ICJ

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,793
Reaction score
4,936
Baada ya kuvuliwa Ubunge mh Tundu Lisu kupewa majukumu mapya Huko mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa Kivita akijiandaa kumrithi mama yuleeee.Najaribu kuwaza kwa sauti nikimkubuka dr Mwele Malechela.
Leo na Mimi nimeanzisha thread ya kumuudhi mtu.
 
View attachment 1142380
Ndoto yako hiyo utatuweka Sehemu mbaya watanzania jiwe hatabiriki
 
Toka lini mchochezi na kibaraka wa mabeberu akapewa nyazifa kubwa na na hiyo,endelea kuota apo ufipa.
 
Acha aule .. ashibe hatumtaki Tanzania msaliti
 
Watanzania mtakubali aongeze mihula ?
Hahaha unadhani wachina walikubali?! Wanapitisha tu halafu wanasema mmekubali, ukikataa wewe utaambiwa uende mahakamani, hahaha na unazifahamu mahakama zetu hukumu zote zinatoka ikulu. Nakumbuka alipokuwa njombe alusimulua mashitaka, upelelezi, na hukumu ya mtu aliye baka. Sasa yako itatengenezewa audio kabisa.
 
Back
Top Bottom