mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Ni baada ya mwanasheria mkuu wa serikali kutaka adhabu ya shs 5,000,000/= kwa atakayepatikana na hatia ya kukiuka maadili na kuleta uchochezi katk mambo film na michezo ya kuigiza, Lisu alisimama na kutaka sheria hii iondolewe kwa vile tokea ilivyotungwa miaka ya 70s hajawahi kutokea wala kushtakiwa mtu kwa kutenda kosa katika tasnia hiyo ya film, pia mnyika na mchungaji walisimama na kumuunga mkono lisu., lakini Halima mdee baadae alisimama na kutaka adhabu iendelee kuwepo ila ipunguzwe kutoka mili5 hadi mili3,.,
Tbc - live
Huna uwezo wa kupambanua mambo,Ni baada ya mwanasheria mkuu wa serikali kutaka adhabu ya shs 5,000,000/= kwa atakayepatikana na hatia ya kukiuka maadili na kuleta uchochezi katk mambo film na michezo ya kuigiza, Lisu alisimama na kutaka sheria hii iondolewe kwa vile tokea ilivyotungwa miaka ya 70s hajawahi kutokea wala kushtakiwa mtu kwa kutenda kosa katika tasnia hiyo ya film, pia mnyika na mchungaji walisimama na kumuunga mkono lisu., lakini Halima mdee baadae alisimama na kutaka adhabu iendelee kuwepo ila ipunguzwe kutoka mili5 hadi mili3,.,
Tbc - live
Dah!!magamba mnajinyea mpaka aibu sasa,hapa tatizo liko wapi sasa?
Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.
Wanachama wamebaki njia ya panda...
Kigwangala , Ana hoja ametumwa na chama kumng'oa Spika? Misitu mingine bana ya hovyo kabisa .Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.
Wanachama wamebaki njia ya panda...
Mitifuano gani ndani ya CDM. hawa wako bungeni ambako kila mtu yuko huru kuchangia anavyotaka.Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.
Wanachama wamebaki njia ya panda...