Lisu ana nguvu ya kiroho nyuma yake isiyo ya kawaida

Lisu ana nguvu ya kiroho nyuma yake isiyo ya kawaida

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
1,966
Reaction score
2,200
NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA.
1)Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba.

2)Kupenda kuona masikini na wanyonge wanasaidiwa kupata HAKI zao,nimepata shuhuda za watu aliowasaidia msaada wa kisheria kupata HAKI zao BURE kwa kujitolea buree.

3)Kuchukia dhuluma na ufisadi

4)ROHO YA UJASIRI...hana hofu wala uoga

5)Roho ya kuridhika na kukataa kununuliwa,kutafuta manufaa yake mwenyewe badala yake ana HATARISHA MAISHA YAKE kwa ajili ya wengine..

HII KITU sio NGUVU YA BINADAMU ni NGUVU YA ROHO inayomsukuma kutenda hayo MATENDO MEMA MATAKATIFU.
Hiyo nguvu iliyonyuma yake ni NGUVU YA ROHO MTAKATIFU ,Roho wa Mungu.
LISU anaweza akawa nabii wa Mungu mbeba maono ,ama mtumishi wa Mungu anayetumiwa na Mungu kufanya kusudi la Mungu .
Kama mbeba kusudi fulani la ki Mungu au mpango fulani wa Mungu juu ya watu wengi ama Taifa.

NA mtu ambaye NGUVU YA MUNGU IPO NYUMA YAKE...HUWA HAFI ..MPAKA LILE KUSUDI HATMA AMBALO MUNGU AMEWEKA NDANI YAKE LITIMIE.

LISU hatakufa kama Mungu aishivyo mpaka atimize kusudi la Mungu aliloliweka ndani yake.

ALIPIGWA marisasi mengi sana ,ni muujiza leo yupo hai..waliotaka kumuangamiza na WANAOTAKA kumdhuru LISU kwa namna yeyote huo UBAYA UTAWARUDIA wao wwnyewe.

LISU NI MTU WA MUNGU..no zaidi hata baadhi ya wanaojiita manabii na mitume ,masheikh na wachungaji na maaskofu na mapadri..ambao hawapo front line katika ku practice what they preach...LISU ANAFANYA MATENDO MATAKATIFU KWA VITENDO na sio kwa nguvu zake mwenyewe..kwa nguvu ya Roho inayotenda kazi iliyo ndani yake.

.WANAOFIKIRIA kumdhuru LISU FIRST they have to pass through GOD HIMSELF ..(through army of angles)
 
Hatutegemei kuvuna zabibu kwenye shamba la miiba...kazi zake anazozifanya LISU ndizo zinazomtambulisha ..ANATENDA kazi takatifu na matendo matakatifu ya HAKI...na Mungu wetu ni Mungu wa Haki..

MUNGU ni pendo...na upendo hautafuti mambo yake wenyewe upendo ni KUJITOA kwa ajili ya wengine(kujitoa maisha yako kwa ajili ya wengine).

UTAKATIFU ni kutengwa au kujitenga na udhalimu na dhambi na dhuluma na UFISADI.

Upendo wa mshumaa wa kuungua wenyewe ili kuangazia /kumilikia wengine.

UPENDO wa kukataa KUNUNULIWA kuhongwa vipande vya fedha,cheo,mali...au hata uhuru wake ...kwa ajili ya wengine..

haya matendo matakatifu ni ya KI MUNGU na mtu asiyekuwa na Roho wa Mungu hawezi kuyafanya hata kidogo...watu wa Mungu wakati mwingine hawaji katika mavazi ya kanzu na kola na kushika vitabu vitakatifu..kuhubiri mahubiri ya Mungu sio lazima usimame madhabahuni mimbarini altareni...na ibada sio siku maalumu ya jumapili ama ijumaa ama jumamosi..

ibada ni ujumla wa maisha yako ya kila siku muda wote ..maisha ya Lisu ni ibada tosha na ni mahubiri tosha..

NABII WA MUNGU mbeba maono hafi mpaka atimize kisudibla Mungu.

SHIMO wanalomchombia WATATUMBUKIO WAO WENYEWE...nabii wa Mungu hata akitupwa kwenye tanuru la moto ,atatoka akiwa mzima wala unywele wake mmoja hauta ungua wala harufu ya moshi haitampata ,ila wale wanaomsukuma kwenye tanuru la moto...moto utawalamba na watoto wao na kizazi chao....WATAVUNA WANACHOPANDA.
 
Hata wewe siku ukijazwa ROHO mtakatifu utakuwa unatamani kila mtu umuhubirie habari za kuacha dhambi
na ukiona mtu anatenda dhambi unamuhurumia ,yani unaumia kwa ajili yake unatamani aache dhambi.
unakuwa unachukia dhambi ,hata zile ulizikuwa unazitenda zamani unazichukia kabisa
Unakuwa unaoenda kutenda haki na unajazwa furaha na amani na upendo ambao hakuna kitu chichote duniani sio fedha sio mali sio cheo cha dunia kinaweza kukupa furaha na amani ya aina hiyo.
HIYO NDIYO inaitwa NGUVU YA MUNGU NDANI yako inayokusukuma kutenda HAKI,MEMA.

unajua kama huna Roho wa Mungu ndani ya moyo roho yako bado kunakuwa na uwazi..ambao haujazwi hiyo kiu haitoshelezwi na furaha starehe na anasa za dunia hii.

sio mpaka mtu anasema hebu ngoja nikajipe raha niondoe stress..niitafute katika vitu na mali.
BADo hata baada ya kupata kumiliki anasa zote zaa dunia hii lakini bado haikutosha kumfanye awe na FURAHA ya kweli ya kudumu..bado anakuwa na UTUBU na kiu ambayo haijazwi na kitu chochote .utaitafuta kwa njia zote ila ni ya muda mfupi ya kujidanganya kama unajipa raha mwenyewe..

FURAHA na Amani ya kweli inatoka ndani yako,hiyo ndiyo unakusukuma kufanya na kutenda kadiri ya nguvu iliyo ndani yako.
 
SIfa za ssh ni zipi?

Lucas mwashmbw PASKALI myal @genta @choicee variable @ tlah tlaaa@gallow bed @ na kuendelea MACHAWA WOTE WANAZIIMBA HAPA KILA SIKU katika kumuabudu ibada za kila siku
 

Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 4
TL
 

Attachments

  • 2020_07_30_15_29_IMG_8135.JPG
    2020_07_30_15_29_IMG_8135.JPG
    9.5 KB · Views: 4
  • 2020_07_30_15_28_IMG_8133.JPG
    2020_07_30_15_28_IMG_8133.JPG
    21 KB · Views: 3
T
 

Attachments

  • images - 2026-02-28T224529.667.jpeg
    images - 2026-02-28T224529.667.jpeg
    5.6 KB · Views: 3
  • images - 2026-02-28T224600.314.jpeg
    images - 2026-02-28T224600.314.jpeg
    35.6 KB · Views: 3
  • images - 2026-02-28T224621.482.jpeg
    images - 2026-02-28T224621.482.jpeg
    55.1 KB · Views: 3
  • images - 2026-02-28T224753.798.jpeg
    images - 2026-02-28T224753.798.jpeg
    42.4 KB · Views: 3
  • images - 2026-02-28T224946.139.jpeg
    images - 2026-02-28T224946.139.jpeg
    6.6 KB · Views: 2
  • images - 2026-02-28T225033.792.jpeg
    images - 2026-02-28T225033.792.jpeg
    31.4 KB · Views: 4

Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 3
  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 5
  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 4
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 3
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 3
  • images (76).jpeg
    images (76).jpeg
    22.3 KB · Views: 3
  • images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    30.8 KB · Views: 3
  • images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    16.9 KB · Views: 5
  • images - 2026-03-01T095035.629.jpeg
    images - 2026-03-01T095035.629.jpeg
    37 KB · Views: 3

Attachments

  • images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    16.9 KB · Views: 2
  • images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    30.8 KB · Views: 3
  • images - 2026-03-01T095310.232.jpeg
    images - 2026-03-01T095310.232.jpeg
    36.2 KB · Views: 4
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 3
Back
Top Bottom