Listening to an empty cd

Listening to an empty cd

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
DSCF3633.JPG
 
Maisha muyasikie tu hasa pale mambo yanapokuwa hayaendi kama vile unavyotaka au pale mambo yanapoharibika.

Jamaa yupo mbali sana
 
He is like d.amn i hv been through a lot of s.hit..
 
some time unaweza ukapita wakati mgumu, wewe mwenyewe ukifikiria kile kipindi unaweza kuhisi ulikua ni mchezo wa kuigiza. muache afikiri
 
Naona hapo ni mahisabu makali sana hata kalkulita haifui dafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom