C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #61 Jimbi said: saa unaandika hapa ulikuwa unafikiri kwa kutumia "meya wa jiji la dar", sivyo? Click to expand... Ndio mzee ni sawa na wewe unayoyaandika hapa yanakufanya unakuwa kama waziri mkuu wa uingereza
Jimbi said: saa unaandika hapa ulikuwa unafikiri kwa kutumia "meya wa jiji la dar", sivyo? Click to expand... Ndio mzee ni sawa na wewe unayoyaandika hapa yanakufanya unakuwa kama waziri mkuu wa uingereza
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Mar 16, 2012 #63 nakupatia Zinduna mtoto waukweli si kidogo..
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #64 sawabho said: M. Makamba for you ? Click to expand... Oooh yeah
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,375 Mar 16, 2012 #65 Kwenye List yako mbona wengine walishaolewa kwa ndoa na watoto tayari
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #67 ndetichia said: nakupatia Zinduna mtoto waukweli si kidogo.. Click to expand... Ndio nani huyo?
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #68 FirstLady1 said: Kwenye List yako mbona wengine walishaolewa kwa ndoa na watoto tayari Click to expand... Kama nani?
FirstLady1 said: Kwenye List yako mbona wengine walishaolewa kwa ndoa na watoto tayari Click to expand... Kama nani?
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #69 Technician said: Unataka kuajiri kazi unaweza? Click to expand... Hujaeleweka mkuu
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #71 EBENEZA MT said: Malaria sugu atakufaa. Click to expand... Kajazia??
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member May 24, 2008 3,736 2,137 Mar 16, 2012 #72 Getrude Lwakatare shyrose Banji Asha baraka
brazilian JF-Expert Member Feb 10, 2012 604 112 Mar 16, 2012 #73 Utapata pressure bure. Nenda mwanarumango kajitwalie mwali huko. Achana nao hao
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,110 115,899 Mar 16, 2012 #74 utani pembeni..... kama kuna vidume hapa jf viko serious na kuoa hao wadada ni bora mkafanya mipango mkawafuata msiwaone ni maarufu wengi wao wanakufa kwa upweke na wako tayari kuolewa na yeyote trust me
utani pembeni..... kama kuna vidume hapa jf viko serious na kuoa hao wadada ni bora mkafanya mipango mkawafuata msiwaone ni maarufu wengi wao wanakufa kwa upweke na wako tayari kuolewa na yeyote trust me
Makindi N JF-Expert Member Mar 14, 2008 1,066 173 Mar 16, 2012 #76 Anakufaa yule Diva cjui anaetangaza kile kipindi malovee usiku cha Clouds!
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #77 Jiwe Linaloishi said: Getrude Lwakatare shyrose Banji Asha baraka Click to expand... Hapo labda asha baraka ila apunguze kujichubua
Jiwe Linaloishi said: Getrude Lwakatare shyrose Banji Asha baraka Click to expand... Hapo labda asha baraka ila apunguze kujichubua
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #78 brazilian said: Utapata pressure bure. Nenda mwanarumango kajitwalie mwali huko. Achana nao hao Click to expand... Yale yale ya prof j
brazilian said: Utapata pressure bure. Nenda mwanarumango kajitwalie mwali huko. Achana nao hao Click to expand... Yale yale ya prof j
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #79 The Boss said: utani pembeni..... kama kuna vidume hapa jf viko serious na kuoa hao wadada ni bora mkafanya mipango mkawafuata msiwaone ni maarufu wengi wao wanakufa kwa upweke na wako tayari kuolewa na yeyote trust me Click to expand... Uko very serios kama avatar yako Am damn serious nichagulie mmoja basi
The Boss said: utani pembeni..... kama kuna vidume hapa jf viko serious na kuoa hao wadada ni bora mkafanya mipango mkawafuata msiwaone ni maarufu wengi wao wanakufa kwa upweke na wako tayari kuolewa na yeyote trust me Click to expand... Uko very serios kama avatar yako Am damn serious nichagulie mmoja basi
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Mar 16, 2012 Thread starter #80 Calnde said: Hivi Sista P ameolewa? Vipi pale? Click to expand... Huyo hapana kwa kweli