List ya wanawake kumi ambao lazima nioe mmoja wao

Ngoja nikupe mchongo wa ukweli kama upo serious!!Unaonaje kitu Mwanaasha?Dingi amekataa kumuendeleza kielimu baada ya kuzingua form 4.Kitu cha ukweli kile cha kikwere jipange uzame magogoni mkuu!!
 
Ndugu yangu achana na hao mastaa kwani watakuu
miza bure ingia magotini umuombe mungu akuonyeshe mwenzi wa kuishi
naye siyo kina wema wanaotaka waonekane kwenye front page za magazeti
 
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.

Mwamvita aliolewa na Gray (Australian) former MD wa SGS baada ya Mwamvita kuisambaratisha ndo ya Gray. Hata hivyo wameshaachana. So yuko available kama dogo janja ana guts!
 
Hapo mambo yote Wema Sepetu tu . . .

Yaani huyu binti kwa mambo yake nilimchukia saaaana. Nikajikuta kila akipayuka na kufanya skendo ndo napata shauku ya kutaka kujua huyu ni binadamu wa namna gani . . . .

Atakupa Ujijo sana. Jina lake ni kubwa sana kuliko wengi wanavyodhani. Uliza mtoto yeyote wa mjini Wema Sepetu ni nani, wanamjua kuliko say Makongoro Mahanga.
 
ndugu yangu achana na hao mastaa kwani watakuu
miza bure ingia magotini umuombe mungu akuonyeshe mwenzi wa kuishi
naye siyo kina wema wanaotaka waonekane kwenye front page za magazeti
amen nimekusikia kiongozi
amen
 
Mwamvita aliolewa na Gray (Australian) former MD wa SGS baada ya Mwamvita kuisambaratisha ndo ya Gray. Hata hivyo wameshaachana. So yuko available kama dogo janja ana guts!
Ngoja nianze na mimi kuchangia changia comments u-turn maybe mange ataniunganisha
 
Hapo mambo yote Wema Sepetu tu . . .

Yaani huyu binti kwa mambo yake nilimchukia saaaana. Nikajikuta kila akipayuka na kufanya skendo ndo napata shauku ya kutaka kujua huyu ni binadamu wa namna gani . . . .

Atakupa Ujijo sana. Jina lake ni kubwa sana kuliko wengi wanavyodhani. Uliza mtoto yeyote wa mjini Wema Sepetu ni nani, wanamjua kuliko say Makongoro Mahanga.
Wewe umemla??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom