List ya wanawake kumi ambao lazima nioe mmoja wao

Naomba utoe wasifu wako hapa jamvini ili tutoe perfect match.Kwani hawa akina dada uliowalist hapa wana tabia zinazotofautiana mno,mfano Salama na Mwamvita Makamba ni watu wawili tofauti wanaoishi kwenye dunia tofauti

Wasifu wangu mimi ni mwanaume wa Kitanzania
Nimeajiriwa serikalini kitengo nyeti sawa na jina la avatar yangu tu na cheo cha kawaida ila nina miradi yangu mengine ming tu
napenda mwanamke nitakayemuoa awe mchapa kazi sio kula kulala
Umri wangu ni miaka upo kati ya miaka 28-35
 
1. Wema sepetu
2. Linah
3. Dj fetty
4. Kiki
5.mwamvita makamba
6. Salama jabir
7.dina marios
8.c.e.o wa 8020 blog
9 c.e.o wa bang magazine
10.mboni masimba

Naruhusu kuchaguliwa mchumba na member wa jf iwapo member hawataridhishwa na list yangu vile vile kamaa kuna mtu umemridhia katika hii list waweza mtaja na kumpendekeza vile vile kama kuna member wa jf ungependa nimuoe waweza pendekeza ila asiwe FAIZA FOX TU LOL

Hapo kwenye blue: Hao wasichana nawahusudu sana bila kujali wamefanya nini! Sijui ni kwa nini! I wish mmojawapo ningekuwa my husband yake!
 
Hapo kwenye blue: Hao wasichana nawahusudu sana bila kujali wamefanya nini! Sijui ni kwa nini! I wish mmojawapo ningekuwa my husband yake!
Kama vipi tuunganishe nguvu tuwang'oe hawa warembo kabla utamu hao haujaisha
 
1. Wema sepetu
2. Linah
3. Dj fetty
4. Kiki
5.mwamvita makamba
6. Salama jabir
7.dina marios
8.c.e.o wa 8020 blog
9 c.e.o wa bang magazine
10.mboni masimba

Naruhusu kuchaguliwa mchumba na member wa jf iwapo member hawataridhishwa na list yangu vile vile kamaa kuna mtu umemridhia katika hii list waweza mtaja na kumpendekeza vile vile kama kuna member wa jf ungependa nimuoe waweza pendekeza ila asiwe FAIZA FOX TU LOL

Nakuongezea
Mh HALIMA
MH G. R (Kama unapenda matembo) ni mjasiliamali mzuri sana....
Madam Rita! I think yuko single ni mjasiliamali mzuri,mtoto wa Kinyambo huyo!
 
nakuongezea
mh halima
mh g. R (kama unapenda matembo) ni mjasiliamali mzuri sana....
madam rita! I think yuko single ni mjasiliamali mzuri,mtoto wa kinyambo huyo!
g.r silitaki lile dude
rita yeah yuko bomba
mdee mmmmh kuna mawaziri pale mmmmh
 
g.r silitaki lile dude
rita yeah yuko bomba
mdee mmmmh kuna mawaziri pale mmmmh

Sure! Kuna waziri kweli? Huyo waziri hajafata kingine zaidi ya siri cha chama pale!bila shaka atakuwa ametumwa na chama chake.
 
wema sepetu is best for u..... sababu kashapewa na za aina zooote so akija kwako na ukaoa kabisa atatulia na kua mke boraaa....afu si unaona alivo mrembo....take her ila mtarest in peace mda si mrefuuu
 
Sure! Kuna waziri kweli? Huyo waziri hajafata kingine zaidi ya siri cha chama pale!bila shaka atakuwa ametumwa na chama chake.
Sasa huoni hapo serikali imeweka mkono wake then mimi nijipeleke kichwa kichwa sitaki kuwa kolimba lol
 
wema sepetu is best for u..... sababu kashapewa na za aina zooote so akija kwako na ukaoa kabisa atatulia na kua mke boraaa....afu si unaona alivo mrembo....take her ila mtarest in peace mda si mrefuuu
Kwani anao?
 
saa unaandika hapa ulikuwa unafikiri kwa kutumia "meya wa jiji la dar", sivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom