List ya waliotabiriwa kifo 2017: Malkia na Mugabe wapo | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List ya waliotabiriwa kifo 2017: Malkia na Mugabe wapo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mlaleo, Jan 10, 2017.

 1. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Hapo chini utaona listi ya watakaokufa mwaka 2017, Watu maarufu zaidi ya 50 wamechaguliwa na jopo la watabiri kuwa watakufa mwaka huu. Kuna sheria za kuchagua watu watakaokufa kama ifuatavyo: Mtabiliwa kifo lazima awe maarufu kiasi ya kwamba huyo mtu akifa lazima vyombo vya habari vya uingereza vitamtangaza; na vigezo vingine kadhaa akionekana mgonjwa au ukimuona unajua huyu!

  Malkia Elizabeth II ameshatabiriwa mara moja akadunda huo Mwaka sasa hivi pia katabiriwa kuwa atadanja mwaka huu 2017.. mume wake Prince Philip nae Ametabiriwa 2017 pia.

  Raisi wa zamani wa Marekani Jimmy Carter mwenye Miaka 93

  Bwana Mugabe Miaka 93 naye Masikini wamemtabilia 2017 ndio the end - Kaandikwa Dictator alishatabiriwa mara 3 before

  Pia katika list hiyo Billionea Mwenye Familia tajiri kabisa Rockefeller mwenye miaka 102 nae amatabiriwa 2017 atakufa...

  Desmond Tutu naye pia Mubarak

  Lema huwa hasomi huku sijui kaotaje... bila kuwasiliana na wenye kuzimu...

  Katika list ya Mwaka 2016 Fidel Castro alikuwepo na Nusu walio orodheshwa walikufa na wengine ndio wamesogea mwaka huu kwa kukomaa huku Wanateseka.. inasikitisha Sana


  Below you will find DeathList 2017, a list of 50 celebrities selected by an expert committee for their likelihood to die during 2017. There are a few rules to DeathList summarised as follows: Candidates must be famous enough such that their death is expected to be reported by the UK media;Candidates cannot be famous solely for the fact they are likely to die in the near future and only 25 candidates can reappear from the previous year’s list. 2016 was billed as the year of the celebrity death by some and, although DeathList 2016 started strongly, it hit a very lean period from June to November and ended with a final score of 12, two below the all time record of 14. Has the big celebrity clear-out of 2016 made the task more challenging for 2017 or will the rate of celebrity deaths continue apace? Only time will tell...


  Rank
  Prev Year AppearName Age Description Discuss
  1 10 15 Kirk Douglas 101 Actor
  2 28 9 Vera Lynn 100 Singer
  3 6 11 Billy Graham 99 Evangelist
  4 18 3 Lord (Peter) Carrington 98 UK Politician
  5 15 5 Peter Sallis 96 Last of the Summer Winer
  6 16 5 Prince Philip Duke of Edinburgh 96 Casual rascist
  7 41 5 Denis Norden 95 Comic / TV Presenter
  8 3 Pierre Cardin 95 Fashion Designer
  9 37 4 Stan Lee 95 Marvel comics
  10 4 10 Olivia De Havilland 101 Actress
  11 7 6 Herman Wouk 102 Author
  12 1 Tony Booth 86 Actor
  13 20 5 Bob Dole 94 Politican
  14 1 Leah Bracknell 53 Actress
  15 23 2 Jimmy Carter 93 Ex US President
  16 1 Gord Downie 53 Tragically Hip Singer
  17 29 3 Leslie Phillips 93 Comedy Actor
  18 4 Robert Mugabe 93 Dictator
  19 8 4 Javier Perez de Cuellar 97 Ex UN Secretary General
  20 39 13 Jake Lamotta 96 Boxer
  21 1 King Michael of Romania 96 King of Romania
  22 1 Betty White 95 Golden Girl
  23 1 Nobby Stiles 75 Footballer
  24 2 Queen Elizabeth II 91 Queen
  25 1 Jill Gascoine 80 Actress
  26 1 Bob Barker 94 The Price is Right
  27 26 2 Doug Ellis 93 Ex-Aston Villa Chairman
  28 27 5 George Bush Senior 93 Former President of USA
  29 1 Honor Blackman 92 Actress
  30 1 Ian St John 79 Footballer
  31 1 Hugh Hefner 91 Playboy
  32 1 David Prowse 82 Darth Vader
  33 6 Jerry Lewis 91 Comedian
  34 1 David Rockefeller 102 Billionaire
  35 31 2 Sandy Gall 90 TV news reporter
  36 1 Pope Benedict XVI 90 Former Pope
  37 50 3 Bruce Forsyth 89 Entertainer
  38 32 9 Fats Domino 89 Singer
  39 4 Hosni Mubarak 89 Former Egyptian President
  40 34 3 Desmond Tutu 85 Archbishop
  41 1 Emperor Akihito 84 Japanese Emperor
  42 1 Gay Byrne 83 Broadcaster
  43 36 2 Glen Campbell 81 Country Singer
  44 1 Liz Dawn 78 Vera Duckworth
  45 49 2 John Noakes 83 Blue Peter Presenter
  46 3 Valerie Harper 78 Rhoda
  47 21 4 Joost van der Westhuizen 46 Rugby player
  48 13 2 Mary Tyler Moore 81 Actress
  49 1 Errol Christie 54 Boxer
  50 6 Ian Brady 79 All round Mr Nice Guy

  The DeathList 2017

  The DeathList 2016
   
 2. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #21
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Vipi na wewe ndio unatabiri pia je utaondoka?
   
 3. Love Guru

  Love Guru JF-Expert Member

  #22
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 19, 2015
  Messages: 945
  Likes Received: 1,629
  Trophy Points: 180
  mie sijatabiri, I was just try to explain my point that nobody in this world knows the death day,month or year of anybody.
   
 4. shiu yang

  shiu yang JF-Expert Member

  #23
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 2,205
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  Vip kuhusu hao walio tabiri mwaka 2016 wakafa?

  I can know ur date of death nikija kukuua na tarehe nishapanga nitakuwa sijajua au.!!??
   
 5. nickson mangowo

  nickson mangowo Senior Member

  #24
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 112
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Hawa wasituzingue!! Nani atakae shindwa huo ujinga wao. Mtu anamiaka 80 na zaid kwakuangalia tu nguvu zimeshamuishia na mauti haiko mbali. Km wao niwatabiri watutabirie watakaokufa wenye chini ya umri wa miaka 50. Kwani na wao si wanakufa ? Hv hata wewe angalia pale mtaani kwako huoni kuna mtu anaweza kufa kutokana na umri wake kusonga? Unaona
   
 6. geniveros

  geniveros JF-Expert Member

  #25
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 23,329
  Likes Received: 20,052
  Trophy Points: 280
  kumbe wanaangalia umri wa mtu kawaida sana hyo kwa umri huo
   
 7. geniveros

  geniveros JF-Expert Member

  #26
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 23,329
  Likes Received: 20,052
  Trophy Points: 280
   
 8. geniveros

  geniveros JF-Expert Member

  #27
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 23,329
  Likes Received: 20,052
  Trophy Points: 280
  wasanii
   
 9. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #28
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,025
  Likes Received: 31,750
  Trophy Points: 280
  dah we kweli mtabiri nimekuvulia kofia na tishirt na brazia
   
 10. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #29
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,417
  Likes Received: 12,539
  Trophy Points: 280
  Yule ambae ni Mananger wa kampuni ya madini Jimmy Plogra Mutavez
   
 11. kenzi

  kenzi JF-Expert Member

  #30
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 19, 2015
  Messages: 283
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 60
  Exactly..
   
 12. Love Guru

  Love Guru JF-Expert Member

  #31
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 19, 2015
  Messages: 945
  Likes Received: 1,629
  Trophy Points: 180
  in my religion (Islam) tunaamini kuwa nothing happens to a person unless Allah has decreed that thing to happen on him. in other words even when the entire world population wanted to kill me, but the Almighty hasnt decreed for me to be killed (or die) on that day, then not a single soul can take me down.
   
 13. mpuyango

  mpuyango Member

  #32
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 17, 2016
  Messages: 61
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 25
   
 14. kedrick

  kedrick JF-Expert Member

  #33
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 25, 2015
  Messages: 3,699
  Likes Received: 2,221
  Trophy Points: 280
  rockerfella ana badilisha moyo kila baada ya mda flan mwaka jana august alipewa moyo wke mpya wa 7
   
 15. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #34
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Huyo Jamaa fwedha inaongea... Tajiri Mno anaweza kuwaajiri kina bill gates Dangote n.k kwa ujumla wao jitu lina miliki ma saterite angani Trillionea labda likose bidhaa lakini kama zipo pwedha itaongea tu
   
 16. v

  vicheche wawili JF-Expert Member

  #35
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 1, 2015
  Messages: 5,083
  Likes Received: 2,374
  Trophy Points: 280
  embu niwekee [picha yake hapa.
   
 17. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #36
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  This is too much
   
 18. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #37
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tajiri Mwenyewe alishandei ila Utajili upo kwa Familia so picha yeyote ya member wa Familia ukitaka wao Utajili wao unaendeshwa just like nchi zinavyojiendesha wana miliki karibu kila kitu japo yasemekana ni mali za Mayor Rothschild alipowekeza kwenye Oil akampa kazi J.D Rockefeller so mautajili hayo yanatisha... Jamaa ni matajiri haswa haswa Duniani
   
 19. v

  vicheche wawili JF-Expert Member

  #38
  Jan 14, 2017
  Joined: Sep 1, 2015
  Messages: 5,083
  Likes Received: 2,374
  Trophy Points: 280
  Mbona kwenye forbes list sijawaona? au hakuna kichwa kichofikia mkwanja wa bill gates? na huyo aliebadilisha moyo mar saba ni nani?
   
 20. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #39
  Jan 14, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Hao wa Forbes ni mmoja mmoja Hizo Family ni Matrillionea na ubilionea walishavuka karne ya 18 wao wapo pia kwenye Forbes kama zile Twin Tower za Marekani zilizobomolewa zilikuwa ni za Rothschild family
   
 21. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #40
  Jan 14, 2017
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,803
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  Wanaowatabiliwa wote umri umesonga..
   
Loading...